UN yalaani unyama dhidi ya Waislamu Myanmar
Kamishna Mkuu wa Haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa amewasilisha ripoti yake na kusema kuwa, mashambulizi na unyama unaofanywa na jeshi na mabudha dhidi ya Waislamu wa jamii ya…
Kamishna Mkuu wa Haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa amewasilisha ripoti yake na kusema kuwa, mashambulizi na unyama unaofanywa na jeshi na mabudha dhidi ya Waislamu wa jamii ya…
Waislamu nchini Sweden wanaendesha kampeni za kupambana na sheria za nchi hiyo ambazo zinaruhusu kuvunjiwa heshima matukufu ya kidini. Hatua hiyo ya Waislamu wa Sweden imechukuliwa baada ya adui wa…
Wawakilishi wa serikali ya Thailand ambao wamekwenda kusini mwa nchi hiyo kufanya mazungumzo na Waislamu wamesema kwamba pendekezo lililotolewa na Waislamu wa maeneo hayo ni kutaka siku ya Ijumaa iwe…
Waislamu nchini India wanaendelea na mpango wao wa kujenga hosptali ya kutoa huduma za kila namna pembeni mwa msikiti katika kijiji cha Dhannipur cha eneo la Ayodhya huko Uttar Pradesh.…
Waislamu mjini Durban Afrika Kusini wamepanga kulalamikia hukumu ya mahakama moja ya nchi hiyo ya kupiga marufuku kusomwa adhana katika msikiti mmoja mjini humo. Mtandao wa habari wa “HeraldLive” umemnukuu…
Mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Democrats nchini Marekani ametuma ujumbe kwenye Kongamano Kubwa la Kila Mwaka la Waislamu wa Amerika Kaskazini (ISNA) na kusema kuwa, siku ya…
Viongozi wa eneo la Catalonia nchini Uihspania wameamua kuanzisha rasmi masomo ya dini tukufu ya Kiislamu katika skuli za serikali kuanzia mwaka huu wa wa masomo wa 2020-2021 Mtandao wa…
Kongamano kubwa la 57 la kila mwaka la Waislamu wa Amerika Kaskazini (ISNA) mwaka huu limefanyika kufanyika kwa njia ya video na kuwashirikisha viongozi muhimu Waislamu katika masuala ya kidini,…
Waislamu wasiopungua 11 wamefariki dunia baada ya kuripuka bomba la gesi la chini ya ardhi karibu na msikiti mmoja nje ya mji mkuu wa Bangladesh, Dhaka.Shirika la habari la Associated…
Kundi moja la Waislamu na Wakristo nchini Ufilipino wameamua kushirikiana kusafisha mazingira kwa kuanzia kusafisha fukwe za baharini kwa pamoja.Hayo yameripotiwa na mtandao wa habari wa “UCANews” na kuongeza kuwa,…