Kipande hiki cha video hapa chini kinawaonesha ndugu watano maqarii wa tajwidi raia wa Misri wakisoma kwa kupokezana aya za 61 hadi 65 za Surat Furqan kwa kutumia maqam tofauti za tajwidi. Inavutia sana. Ingia katika sehemu ya sauti ya tovuti hii kujifunza usomaji wa tajwidi na mbinu zake. Unaweza kupakua audio na video zilizomo kwenye tovuti hii na kuwasambazia wengine.

(Visited 2 times, 1 visits today)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!