Wamisri wataka harakati za Qur’ani zianze tena
Maimamu na makhatibu wa misikiti nchini Misri pamoja na vyuo vya Qur’ani na vituo vya kielimu vya nchi hiyio vimeitaka Wizara ya Wakfu ifungue upya harakati za Qur’ani na elimu…
Maimamu na makhatibu wa misikiti nchini Misri pamoja na vyuo vya Qur’ani na vituo vya kielimu vya nchi hiyio vimeitaka Wizara ya Wakfu ifungue upya harakati za Qur’ani na elimu…
Misikiti ya miji kadhaa ya Ujerumani imeamua kufanya sherehe za “Milango Wazi ya Misikiti” kama sehemu ya kusherehekea siku Ujerumani Magharibi na Ujerumani Mashariki zilipoungana. Hayo yameripotiwa na mtandao wa…
Sherehe za kuzindua makumbusho ya Waislamu 51 waliouawa shahidi misikitini huko New Zealand zimeongozwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Bi Jacinda Ardern. Vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kwa wingi…
Mmiliki bora wa Benki za Kiislamu kwa mwaka huu wa 2020 amechaguliwa katika eneo la Mashariki Kati. Mtandao wa habari wa “PK Obsever” umesema kuwa Meneja Mkuu wa Qatar Islamic…
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi kwa Kiswahili, audio hii hapa chini ni ya nane na ya mwisho ya mfululizo wa masomo haya.…
Mahakama moja ya mji wa Münster wa magharibi mwa Ujerumani jana Jumatano ilitoa hukumu iliyoruhusu kusomwa adhana katika msikiti mmoja wa mjini humo kwa ajili ya Sala ya Ijumaa. Tovuti…
Nakala tatu za zamani na za kihistoria hivi sasa zinahifadhiwa katika maktaba moja ya mjini New York, Marekani zikiwa na umri wa zaidi ya miaka 500. Mtandao wa habari wa…
Muhammad Abdul Hadi, baba wa watoto wanne waliozaliwa na upungufu wa kiungo cha macho nchini Saudi Arabia, watatu wanaume na mmoja mwanamke, amepata taufiki ya kuwalea vizuri watoto wake hao…
Umoja wa Mataifa umetoa taarifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya tarehe 21 Septemba ambayo inatambuliwa kuwa ni Siku ya Amani Duniani, na kusema kwamba mgogoro wa maambukizo ya kirusi cha…
“Mapambano na Mafanikio ya Waislamu wenye asili ya Afrika” imeteuliwa kuwa kaulimbiu ya ratiba maalumu za “Mwezi wa Historia ya Waislamu” ambao huadhimishwa kila mwaka nchini Canada. Mtandao wa “Muslim…