Mahakama UK kufuatilia mauaji ya Waislamu China
Mahakama ya umma nchini Uingereza imetoa taarifa ya kukubali kufuatilia ombi la Kongamano la Kimataifa la Uyghur la kufuatilia uvunjaji wa haki za binadamu na uwezekano wa kuweko mauaji ya…
Mahakama ya umma nchini Uingereza imetoa taarifa ya kukubali kufuatilia ombi la Kongamano la Kimataifa la Uyghur la kufuatilia uvunjaji wa haki za binadamu na uwezekano wa kuweko mauaji ya…
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi, audio hii hapa chini ni ya nne ya mfululizo wa masomo haya. Inahusiana na maqam ya ‘Ajam.…
Binti Fatma Yusuf Adli Hassan, mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa sekondari katika Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri amefanikiwa kuandika Qur’ani kwa mkono wake kwa muda wa miezi…
Mkuu wa jimbo la Niger (Niger State) la katikati mwa Nigeria na ambalo ndilo jimbo kubwa zaidi katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika ametangaza habari ya kufunguliwa kituo kikuu…
Sheikh Mkuu wa Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri maarufu kwa jina la Shaikhul Azhar, ametuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook na kusema kuwa, kitendo cha maadui…
Serikali ya Uzbekistan imetangaza kuwa kuanzia Ijumaa ya wiki hii ya tarehe 4 Septemba 2020, misikiti ya nchi hiyo itaanza tena kusaliwa Sala za Ijumaa. Mtandao wa habari wa “Aki…
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi, audio hii hapa chini ni ya tatu ya mfululizo wa masomo haya. Inahusiana na maqam na naghma…