Wanafunzi 700 washiriki masomo ya Qur’ani Saudia
Wanafunzi 700 wa Qur’ani Tukufu, wa kike na wa kiume wanashiriki masomo ya viwango mbalimbali ya Qur’ani Tukufu kwa njia ya Intaneti nchini Saudi Arabia. Hayo yameripotiwa na mtandao wa…
Wanafunzi 700 wa Qur’ani Tukufu, wa kike na wa kiume wanashiriki masomo ya viwango mbalimbali ya Qur’ani Tukufu kwa njia ya Intaneti nchini Saudi Arabia. Hayo yameripotiwa na mtandao wa…
Waislamu mjini Durban Afrika Kusini wamepanga kulalamikia hukumu ya mahakama moja ya nchi hiyo ya kupiga marufuku kusomwa adhana katika msikiti mmoja mjini humo. Mtandao wa habari wa “HeraldLive” umemnukuu…
Mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Democrats nchini Marekani ametuma ujumbe kwenye Kongamano Kubwa la Kila Mwaka la Waislamu wa Amerika Kaskazini (ISNA) na kusema kuwa, siku ya…
Viongozi wa eneo la Catalonia nchini Uihspania wameamua kuanzisha rasmi masomo ya dini tukufu ya Kiislamu katika skuli za serikali kuanzia mwaka huu wa wa masomo wa 2020-2021 Mtandao wa…
Jumuiya ya Kuhuisha Mirathi za Kiislamu nchini Kuwait imefanya sherehe za kuwaenzi na kuwapa zawadi washindi wa mashindano ya 21 ya hifdh na qiraa (tajwidi) ya Qur’ani Tukufu. Mtandao wa…
Kongamano kubwa la 57 la kila mwaka la Waislamu wa Amerika Kaskazini (ISNA) mwaka huu limefanyika kufanyika kwa njia ya video na kuwashirikisha viongozi muhimu Waislamu katika masuala ya kidini,…
Mufti wa Quds (Baytul Muqaddas) huko Palestina amesema kuwa, Msikiti wa al Aqsa ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu na una hadhi ya kipekee kwa Waislamu. “Msikiti huo ni mali…
Waislamu wasiopungua 11 wamefariki dunia baada ya kuripuka bomba la gesi la chini ya ardhi karibu na msikiti mmoja nje ya mji mkuu wa Bangladesh, Dhaka.Shirika la habari la Associated…
Kundi moja la Waislamu na Wakristo nchini Ufilipino wameamua kushirikiana kusafisha mazingira kwa kuanzia kusafisha fukwe za baharini kwa pamoja.Hayo yameripotiwa na mtandao wa habari wa “UCANews” na kuongeza kuwa,…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka serikali za nchi za dunia kutilia maanani jinsi ugonjwa wa COVID-19 ulivyosaidia kuboreka hali ya hewa katika kona zote za dunia (kutokana na…