Süleymaniye, msikiti wa miaka 463 wa Istanbul + Picha
Msikiti wa kihistoria wa Süleymaniye mjini Istanbul Uturuki ni turathi ya kihistoria ya kipindi cha utawala wa Uthmania (Ottoman Empire) na licha ya kupita zaidi ya karne nne na nusu…
Msikiti wa kihistoria wa Süleymaniye mjini Istanbul Uturuki ni turathi ya kihistoria ya kipindi cha utawala wa Uthmania (Ottoman Empire) na licha ya kupita zaidi ya karne nne na nusu…
Msahafu wa kwanza kabisa kuchapishwa katika ukanda wa Asia Mashariki unajulikana kwa jina la Mas-haf Tokyo. Msahafu huo ulichapishwa mwaka 1934 baada ya kuasisiwa kiwanda cha Kiislamu cha kupiga chapa…
Maandalizi ya kuwapokea Waislamu wafanya Umra na Ziara yanaendelea katika miji mitakatifu ya Makkah na Madina. Vyombo mbalimbali vya habari vimeakisi habari hiyo na kuunukuu uongozi wa masuala ya Masjidul…
Mtandao wa habari wa al Yaum al Sab’i umeripoti kuwa, Idara ya Wakfu ya Mkoa wa Giza wa pembeni mwa Mto Nile imetoa amri ya kupigwa dawa misikiti yote mkoani…
Sherehe za kuzindua makumbusho ya Waislamu 51 waliouawa shahidi misikitini huko New Zealand zimeongozwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Bi Jacinda Ardern. Vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kwa wingi…
Na Mwenyezi Mungu ameumba kila kinyama kutokana na maji. Wengine katika wao huenda kwa matumbo yao, na wengine huenda kwa miguu miwili, na wengine huenda kwa miguu mine. Mwenyezi Mungu…
Na ni nani dhalimu mkubwa kuliko yule anayezuia misikiti ya Mwenyezi Mungu kutajwa ndani yake jina Lake na akajitahidi kuiharibu? Watu hao haitawafalia kuingia humo ila nao wanaogopa. Duniani watapata…