Je unajua Msahafu wa kwanza kabisa kamili na sahihi ulichapishwa wapi na mwaka gani? + Picha
Bila ya shaka swali hili limekupitikia mara kadhaa kwamba, kazi ya kuchapisha Misahafu ilianza wapi na mwaka gani? Nyaraka za ulimwengu wa Kiislamu zinatoa uthibitisho gani kuhusu suala hilo na…
Waislamu Nigeria wataka ubaguzi dhidi ya wanawake ukomeshwe
Wanawake Waislamu nchini Nigeria wamewataka viongozi wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika watoe adhabu kali kwa kila anayewanyanyapaa na kuwadhalilisha wanawake wanaovaa nguo za staha ya mwanamke wa Kiislamu,…
Misikiti 4000 yafunguliwa Tajikistan baada ya kufungwa kwa miezi 9
Milango ya Misikiti 4000 imefunguliwa baada ya kufungwa kwa zaidi ya miezi 9 kutokana na janga la corona. Televisheni ya France 24 imetangaza habari hiyo na kuongeza kuwa, Kamati ya…
Kwa mara ya kwanza mwanamke awa mkuu wa Baraza la Kiislamu Uingereza
Baraza la Kiislamu la Uingereza (MCB) kwa mara ya kwanza limemchagua mwanamke kuwa mkurugenzi wake mkuu. Mtandao wa habari wa al Arabi al Jadid umeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa,…
Picha na Video: Msikiti Mkuu wa Taipei, jengo muhimu sana Taiwan
Msikiti Mkuu wa mji wa Taipei, ni moja ya majengo muhimu sana katika makao makuu hayo ya Taiwan. Huo ndio Msikiti mkubwa zaidi na maarufu zaidi huko Taiwan. Una ukubwa…
Bunge la Ufilipino lapasisha Siku ya Taifa ya Hijab
Bunge la Ufilipino, Jumanne, Januari 26, 2021 lilipasisha Siku ya Taifa ya Hijab ikiwa ni sehemu ya mpango maalumu wa kuheshimu na kuenzi vazi hilo la staha la mwanamke wa…
OIC yawa mwenyeji wa kikao cha mtandaoni cha Waislamu wa Rohingya
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC Jumatano, Januari 27, 2021 imekuwa mwenyeji wa kikao cha kuzungumzia mateso ya Waislamu wa jamii ya Rohingya. Kikao hicho kilichofanyika kwa njia ya Intaneti…
Mchezaji wa zamani wa ligi ya NBA Marekani, asilimu
Stephen Jackson, mchezaji maarufu wa zamani wa mpira wa vikapu katika ligi maarufu ya NBA ya Marekani, ametangaza kusilimu na kuingia katika dini tukufu ya Kiislamu. Ametoa tangazo rasmi la…
Video: Historia fupi ya Sheikh Muhammad Siddiq al Minshawi
Sheikh Muhammad Siddiq al Minshawi mmoja wa maqarii bingwa wa Qur’ani Tukufu alizaliwa tarehe 20 Januari, 1920 katika mji wa al Minshah katika mkoa wa Sohag wa kusini mwa Misri.…
Lugha ya Qur’ani kuanza kusomeshwa chuo kikuu nchini Australia
Mhadhiri mmoja wa chuo cha lugha na fasihi ya Kiarabu katika Chuo Kikuu cha Sidney nchini Australia amesema kuwa, kwa mara ya kwanza Lugha ya Qur’ani wataanza kusomeshwa wanafunzi wa…