Wamisri wataka harakati za Qur’ani zianze tena
Maimamu na makhatibu wa misikiti nchini Misri pamoja na vyuo vya Qur’ani na vituo vya kielimu vya nchi hiyio vimeitaka Wizara ya Wakfu ifungue upya harakati za Qur’ani na elimu…
Maimamu na makhatibu wa misikiti nchini Misri pamoja na vyuo vya Qur’ani na vituo vya kielimu vya nchi hiyio vimeitaka Wizara ya Wakfu ifungue upya harakati za Qur’ani na elimu…
Umoja wa Mataifa umetoa taarifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya tarehe 21 Septemba ambayo inatambuliwa kuwa ni Siku ya Amani Duniani, na kusema kwamba mgogoro wa maambukizo ya kirusi cha…
Umoja wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu Duniani umeitisha mkutano wa kimataifa kwa ajili ya kujadiliana nafasi ya vyuo vikuu katika kutumikia jamii na kuzisaidia jamii hizo kutatua matatizo ya ulimwengu…
Serikali ya Uingereza imefikia uamuzi wa kupiga marufuku zaidi ya watu kukusanyika pamoja kuanzia Jumatatu ya Septemba 14, 2020 kutokana na kuanza wimbi jipya la maambukizo ya ugonjwa wa COVID-19.…
Maafisa wanne wa serikali wamehukumiwa kifungo na faini nchini Somalia baada ya kupatikana na hatia ya kuiba fedha za uma zilizotengwa kwa ajili ya matumizi ya dharura ya kukabiliana na…
Misikiti 12 iliyokuwa imefungwa kutokana na janga la corona imefunguliwa tena leo Jumapili, Agosti 23, 2020 katika mikoa ya Sanglang, Simpang Empat na Guar Sanji nchini Malaysia. Mtandao wa habari…
Idadi ya maambukizo ya kirusi cha corona inazidi kuwa kubwa barani Afrika licha ya serikali za nchi mbalimbali barani humo kuanza kufungua sekta zao za kiuchumi baada ya miezi kadhaa…