Mshauri wa zamani wa Trump atiwa mbaroni kwa utapeli
Vyombo vya habari vya Marekani vimetangaza kuwa, mshauri mmoja wa zamani wa ngazi za juu wa rais wa Marekani, Donald Trump ametiwa mbaroni kwa utapeli na udanganyifu. Waendesha mashtaka wa…
Vyombo vya habari vya Marekani vimetangaza kuwa, mshauri mmoja wa zamani wa ngazi za juu wa rais wa Marekani, Donald Trump ametiwa mbaroni kwa utapeli na udanganyifu. Waendesha mashtaka wa…
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa umeamua kuipatia Lebanon msaada wa chakula wa tani 50 elfu baada ya silo pekee kubwa ya nchi hiyo kuteketea kikamilifu katika mripuko mkubwa uliotokea kwenye…
Idadi ya maambukizo ya kirusi cha corona inazidi kuwa kubwa barani Afrika licha ya serikali za nchi mbalimbali barani humo kuanza kufungua sekta zao za kiuchumi baada ya miezi kadhaa…
Watu wasiojulikana wenye silaha Jumatatu wameshambulia vijiji vitatu katika mkoa wa Ituri wa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuua wanavijiji 19 wakiwemo wanawake na watoto wadogo.…
Tarehe 5 Agosti 1990 jumuiya ya OIC iliainisha siku maalumu ya haki za binadamu kwa mtazamo wa dini tukufu ya Kiislamu. Siku hiyo inakumbusha tukio la kupasishwa Azimio la Haki…