Magwiji wanne wa qiraa wakisoma Surat al Balad
Hapa chini tumeweka sauti za maqarii wanne wakubwa wa Qur’ani Tukufu (Mwenyezi Mungu awarehemu) wakisoma aya za mwanzoni mwa Surat al Balad. Maqarii hao ni Maustadh Abdul Basit Muhammad Abdus…
Hapa chini tumeweka sauti za maqarii wanne wakubwa wa Qur’ani Tukufu (Mwenyezi Mungu awarehemu) wakisoma aya za mwanzoni mwa Surat al Balad. Maqarii hao ni Maustadh Abdul Basit Muhammad Abdus…
Waislamu wa Korea Kusini wamegawanyika mafungu mawili, wenye asili ya Korea na wasio na asili ya Kora. Waislamu hao wana tajiriba, uzoefu na daghadagha ambazo ni simulizi za kuvutia. Licha…
Waziri wa Masuala ya Dini wa Tunisia amemuenzi na kumtunuku zawadi Maryam Uthmani, binti mdogo zaidi kuhifadhi Qur’ani katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika. Watu mbalimbali muhimu wamehudhuria sherehe…
Jengo la Makumbusho la Muscat, mji mkuu wa Oman ni hazina ya nakala za thamani kubwa za Misahafu iliyoandikwa kwa mkono na mabingwa wa Khat wa Oman. Mabingwa hao walidhihirisha…
Wakuu wa serikali ya Maldives wametangaza uamuzi wa kuwasomesha dini na Qur’ani raia wake waishio nje ya nchi, kwa njia ya Intaneti. Mtandao wa habari wa AVAS umemnukuu Naibu Rais…
Msahafu wa kwanza kabisa kuchapishwa katika ukanda wa Asia Mashariki unajulikana kwa jina la Mas-haf Tokyo. Msahafu huo ulichapishwa mwaka 1934 baada ya kuasisiwa kiwanda cha Kiislamu cha kupiga chapa…
Video inayomuonesha Waziri Mkuu wa Malaysia, Muhyiddin bin Haji Muhammad Yassin akisoma Qur’ani na mkewe imeenea sana katika mitandao ya kijamii, suala ambalo linaonesha wananchi wengi wa nchi za Kiislamu…
Athari kadhaa za sanaa za mkono za zama za kale za Uislamu ukiwemo ukurasa wa Msahafu wa zamani zaidi wa Qur’ani Tukufu katika Christie’s zitapigwa mnada mwishoni mwa mwezi huu…
Jeshi la polisi limemtia mbaroni mtu mmoja mwenye asili ya Asia baada ya kuenea mkanda wa video katika mitandao yakijamii nchini Kuwait, unaoonesha mtu huyo akikivunjia heshima Kitabu Kitakatifu cha…
Daktari mmoja wa dini ya Kihindu (Kibaniani) anayeishi nchini Canada anatumia visomo vya Qur’ani kuharakisha kupona wagonjwa wake. Mdandao wa “The Siasat Daily” umeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, Daktari…