Video: Mbinu ya kuhifadhisha Qur’ani Somalia
Licha ya Somalia kutumbukia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe tangu mwaka 1991 hadi hivi sasa, lakini usomeshaji wa Qur’ani ikiwemo hifdh unaendelea. Si kazi rahisi kuendelea na usomeshaji huo,…
Licha ya Somalia kutumbukia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe tangu mwaka 1991 hadi hivi sasa, lakini usomeshaji wa Qur’ani ikiwemo hifdh unaendelea. Si kazi rahisi kuendelea na usomeshaji huo,…
Shaykha Maryam Niasse maarufu kwa jina la Shaykha Maryam, ni mmoja wa watu muhimu sana walioitumikia Qur’ani katika umri wao wote nchini Senegal. Kwa mujibu wa “Sahara Medias,” Shaykha Maryam…
Mufti Mkuu wa Misri amelaani shambulio la kigaidi lililofanywa dhidi ya watu waliokuwa wanasoma Qur’ani nchini Afghanistan na kuua na kujeruhi Waislamu wengi. Mtandao wa habari wa al Masry al…
Taasisi moja ya misaada ya nchini Uturuki imegawa misahafu 30 elfu nchini Djibouti kwa ajili ya kuwarahishia Waislamu wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kujifunza vizuri Kitabu hicho kitakatifu.…
Makamu wa Kwanza wa Spika wa Bunge la Iraq ameitaka serikali ya nchi hiyo iitishe mkutano wa kimataifa wa maqarii wa Qur’ani Tukufu mjini Baghdad. Hayo yameripotiwa na mtandao wa…
Nuru ya Uislamu inapoingia haichagui kabila wala rangi, wala ukoo na wala nchi anayotoka mtu. Mbele ya Mwenyezi Mungu wanadamu wote ni wamoja. Wote wameumbwa kwenye nafsi moja. Katika mitandao…
Sheikh Ahmad bin Hamad al Khalili alizaliwa mwaka 1942 na familia ya watu walioshikamana vilivyo na Uislamu, visiwani Zanzibar. Sheikh al Khalili ambaye lakabu yake ni Abu Suliman, na ambaye hivi sasa…
Mesut Özil, mchezaji nguli wa timu ya Arsenal ya nchini Uingereza ametumia aya ya Qur’ani Tukufu kutoa mwito kwa Waislamu kukabiliana kwa busara na hekima na maadui wa Uislamu. Kwa…
Aya ya 282 ya sura ya pili ya al Baqarah, ndiyo aya ndefu zaidi ya Qur’ani Tukufu. Ni aya inayohusiana na masuala ya uchumi kukopeshana na kulipana. Hapa chini tumeweka…
Polisi nchini Ufaransa wamemtia mbaroni Rasmus Paludan, raia wa Denmark mwenye chuki na Uislamu na Waislamu ambaye pia ni mkuu wa chama cha Stram Kurs chenye misimamo mikali. Paludan amekwenda…