Msahafu mrefu zaidi wazinduliwa India
Nakala ndefu zaidi ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa kwa mkono kwenye kitambaa cha kilomita 3.1 imezinduliwa nchini India. Toleo la mtandaoni la gazeti la kila siku la The New Indian Express…
Nakala ndefu zaidi ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa kwa mkono kwenye kitambaa cha kilomita 3.1 imezinduliwa nchini India. Toleo la mtandaoni la gazeti la kila siku la The New Indian Express…
Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar cha nchini Misri leo Jumamosi kimeidhinisha kuanza masomo ya Qur’ani yaliyokuwa yamesimamishwa nchini humo kutokana na maambukizo ya kirusi cha corona. Mtandao wa…
Maimamu na makhatibu wa misikiti nchini Misri pamoja na vyuo vya Qur’ani na vituo vya kielimu vya nchi hiyio vimeitaka Wizara ya Wakfu ifungue upya harakati za Qur’ani na elimu…
Nakala tatu za zamani na za kihistoria hivi sasa zinahifadhiwa katika maktaba moja ya mjini New York, Marekani zikiwa na umri wa zaidi ya miaka 500. Mtandao wa habari wa…
Muhammad Abdul Hadi, baba wa watoto wanne waliozaliwa na upungufu wa kiungo cha macho nchini Saudi Arabia, watatu wanaume na mmoja mwanamke, amepata taufiki ya kuwalea vizuri watoto wake hao…
Sherehe za mwaka wa 12 wa tangu kufunguliwa Bustani ya Qur’ani nchini Qatar zimefanyika lakini kwa njia ya Intaneti kutokana na kuenea ugonjwa wa COVID-19. Bustani hiyo ni ya Taasisi…
Waziri wa Wakfu wa Misri ametangaza habari ya kufunguliwa vituo 69 vya Qur’ani katika misikiti mikubwa ya nchi hiyo kwa ajili ya kulea vijana wanaohifadhi Qur’ani Tukufu na wanafunzi wa…
Video hii hapa chini ni ya Qarii wa Kikurdi ambaye Mwenyezi Mungu amempa kipaji ya kuigiza qiraa za maqarii kadhaa bingwa katika ulimwengu wa Kiislamu tena kwa kuunganisha papo kwa…
Ustadh Mahmoud Khalil al Hussary, qarii maarufu wa Misri ambaye wakati alipokuwa safarini nchini Kuwait, alipata misahafu ambayo Wazayuni walikuwa wameitia mkono na kubadilisha baadhi ya aya zake, akapambana na…
Baraza la Utafiti wa Kiislamu la Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri kinaendesha mashindano ya kimataifa ya maajabu ya kisayansi ya Qur’ani Tukufu. Hayo yameripotiwa na mtandao wa habari…