Wazazi wafurahishwa na kufunguliwa tena Madrasa Brunei
Wazazi nchini Brunei Darussalam wameelezea kufurahishwa sana na uamuzi wa kufunguliwa upya masomo ya Qur’ani katika kituo cha Jame’ ‘Asr Hassanil Bolkiah baada ya kufungwa kwa miezi kadhaa kutokana na…