Masomo ya Tajwidi: Naghma ya Bayat
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi, audio hii hapa chini ni ya tano ya mfululizo wa masomo haya. Inahusiana na maqam na naghma…
Iran yalaani kuvunjiwa heshima Mtume SAW nchini Ufaransa
Kiongozi Mkuu wa kidini wa Iran ametuma ujumbe wa maandishi na kulaani kitendo cha jarida la Charlie Hebdo la Ufaransa cha kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW. Katika ujumbe wake huo,…
Wanafunzi 700 washiriki masomo ya Qur’ani Saudia
Wanafunzi 700 wa Qur’ani Tukufu, wa kike na wa kiume wanashiriki masomo ya viwango mbalimbali ya Qur’ani Tukufu kwa njia ya Intaneti nchini Saudi Arabia. Hayo yameripotiwa na mtandao wa…
Waislamu A/Kusini kulalamikia kuzuiwa Adhana
Waislamu mjini Durban Afrika Kusini wamepanga kulalamikia hukumu ya mahakama moja ya nchi hiyo ya kupiga marufuku kusomwa adhana katika msikiti mmoja mjini humo. Mtandao wa habari wa “HeraldLive” umemnukuu…
Biden: Nitaondoa marufuku ya Waislamu kuingia Marekani
Mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Democrats nchini Marekani ametuma ujumbe kwenye Kongamano Kubwa la Kila Mwaka la Waislamu wa Amerika Kaskazini (ISNA) na kusema kuwa, siku ya…
Uhispania kuanza kusomesha Uislamu mashuleni
Viongozi wa eneo la Catalonia nchini Uihspania wameamua kuanzisha rasmi masomo ya dini tukufu ya Kiislamu katika skuli za serikali kuanzia mwaka huu wa wa masomo wa 2020-2021 Mtandao wa…
Video: Msikiti wa kwanza wa sola wafunguliwa Kazakhstan
Msikiti wa kwanza wa sola (unaotumia nguvu za jua) ambao unachunga mazingira na unapunguza sana gharama za umeme msikitini, umefunguliwa katika mji mkuu wa Kazakhstan, Nur-Sultan (Astana). Televisheni ya al…
Mashindano ya Qur’ani Kuwait; Hifdh, Tajwidi
Jumuiya ya Kuhuisha Mirathi za Kiislamu nchini Kuwait imefanya sherehe za kuwaenzi na kuwapa zawadi washindi wa mashindano ya 21 ya hifdh na qiraa (tajwidi) ya Qur’ani Tukufu. Mtandao wa…
Kongamano kubwa la Waislamu lafanyika kwa njia ya video
Kongamano kubwa la 57 la kila mwaka la Waislamu wa Amerika Kaskazini (ISNA) mwaka huu limefanyika kufanyika kwa njia ya video na kuwashirikisha viongozi muhimu Waislamu katika masuala ya kidini,…
Misikiti 15 mizuri duniani
Na ni nani dhalimu mkubwa kuliko yule anayezuia misikiti ya Mwenyezi Mungu kutajwa ndani yake jina Lake na akajitahidi kuiharibu? Watu hao haitawafalia kuingia humo ila nao wanaogopa. Duniani watapata…