Vituo 69 vya Qur’ani vya kulea ‘mahufadh’ vyafunguliwa Misri
Waziri wa Wakfu wa Misri ametangaza habari ya kufunguliwa vituo 69 vya Qur’ani katika misikiti mikubwa ya nchi hiyo kwa ajili ya kulea vijana wanaohifadhi Qur’ani Tukufu na wanafunzi wa…
Waziri wa Wakfu wa Misri ametangaza habari ya kufunguliwa vituo 69 vya Qur’ani katika misikiti mikubwa ya nchi hiyo kwa ajili ya kulea vijana wanaohifadhi Qur’ani Tukufu na wanafunzi wa…
Ustadh Mahmoud Khalil al Hussary, qarii maarufu wa Misri ambaye wakati alipokuwa safarini nchini Kuwait, alipata misahafu ambayo Wazayuni walikuwa wameitia mkono na kubadilisha baadhi ya aya zake, akapambana na…
Baraza la Utafiti wa Kiislamu la Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri kinaendesha mashindano ya kimataifa ya maajabu ya kisayansi ya Qur’ani Tukufu. Hayo yameripotiwa na mtandao wa habari…
Mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa ajili ya wanafunzi wa nchi za kigeni wanaosoma nchini Misri yalianza Jumatatu ya Septemba 7, 2020. Mashindano hayo yameitishwa na Kituo cha Kiislamu cha al…
Wizara ya Wakfu ya Misri imempa adhabu Imam mmoja wa msikiti nchini humo kwa madai ya kurefusha khutba za Ijumaa na kupindukia muda alioanishiwa. Mtandao wa habari wa “al Misri…
Binti Fatma Yusuf Adli Hassan, mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa sekondari katika Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri amefanikiwa kuandika Qur’ani kwa mkono wake kwa muda wa miezi…
Mkurugenzi wa Idara ya Wakfu ya mkoa wa Sinai Kaskazini nchini Misri ametangaza kuwa, kumefikiwa uamuzi wa kusaliwa tena Sala za Ijumaa katika misikiti 500 ya mkoa huo wa kaskazini…
Wizara ya Wakfu ya Misri imeitisha mashindano ya kwanza kabisa ya aina yake kwa lengo la kuimarisha uzingatiaji wa malengo, maana na shabaha za Qur’ani Tukufu. Mashindano hayo yatahusisha watu…