Waasi waua watu 13 Kongo DR
Watu wasiojulikana wenye silaha wameuawa watu 13 katika vijiji viwili vya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokraisa ya Congo. Shirika la habari la Reuters limenukuu duru za kijeshi za DRC na…
Watu wasiojulikana wenye silaha wameuawa watu 13 katika vijiji viwili vya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokraisa ya Congo. Shirika la habari la Reuters limenukuu duru za kijeshi za DRC na…
Ndugu yangu bila ya shaka unaweza ukawa unajiuliza hiki kitu kinachoitwa nafsi, ni kitu gani? Hii nafsi iko ya daraja ngapi? Kwa nini baadhi ya nafsi zinakuwa nyepesi kutetereka katika…
Vyombo vya habari vya Marekani vimetangaza kuwa, mshauri mmoja wa zamani wa ngazi za juu wa rais wa Marekani, Donald Trump ametiwa mbaroni kwa utapeli na udanganyifu. Waendesha mashtaka wa…
Miongoni mwa ugonjwa mkubwa tulio nao wanadamu ni maradhi ya kutotosheka wala kuridhika na neema anazotupa Mwenyezi Mungu. Ni kawaida yetu kuangalie kwa husda na choyo wale tunaodhani wana neema…
Kwa hakika, hakuna chochote kilichoamrishwa na Allah ila kina manufaa na hakuna chochote kilichokatazwa ila kina madhara. Audio hii hapa chini inaonesha sehemu ndogo ya faida nyingi sana za saumu:
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum ndugu zangu wapenzi. Kama ambavyo tumekuwa tukisisitiza mara kwa mara, hakuna chochote kilichoamrishwa na Mwenyezi Mungu ila kina faida kubwa sana na hakuna chochote kilichokatazwa…
Bismillahi ‘Aliyyun, Ya Ilahi Ya RahimuBismillahi Qawiyyun, nguvu ni Zako QayyumuBismillahi Ghafurun, toba ni Kwako HakimuHeko kumi la rehema, Allah katujaalia. Bismillahi Basirun, unatuona wajaoBismillahi Samiun, tusikize viumbeoBismillahi Munirun, nawirisha…
Allah jina takatifu, naanza ya RahmaniKwa jina Lako Latwifu, baraka za RamadhaniSamehe hai na wafu, sote tuwe neemaniRabi turuzuku toba, ni kumi la ghufurani. *** Turudi Kwake Raufu, Yaayyuha wauminiTusijifanye…
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa umeamua kuipatia Lebanon msaada wa chakula wa tani 50 elfu baada ya silo pekee kubwa ya nchi hiyo kuteketea kikamilifu katika mripuko mkubwa uliotokea kwenye…