Ugiriki, nchi pekee yenye msikiti mmoja tu rasmi barani Ulaya
Baada ya kuakhirishwa muda mrefu ufunguzi wake, hatimaye Waislamu nchini Ugiriki wameruhusiwa kusali katika Msikiti pekee rasmi nchini humo, lakini kwa idadi chache. Kwa mujibu wa mtandao wa Greek City…
Machafuko Ufaransa, Msikiti wachomwa moto
Unyanyasaji na udhalilishaji wa Waislamu unaendelea nchini Ufaransa na tukio la karibuni kabisa ni kuchomwa moto msikiti mmoja kaskazini mwa nchi hiyo. Shirika la habari la Anadolu limemnukuu Fatih Sarikir,…
Kasida mbele ya ubalozi wa Ufaransa mjini Tehran
Maandamano ya kulaani kitendo cha kifidhuli cha viongozi wa Ufaransa cha kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW na matukufu ya Waislamu yanaendelea kwa sura tofauti katika kona zote za ulimwengu wa…
Picha: Hatimaye Msikiti mkubwa zaidi Afrika wafunguliwa
Hatimaye Msikiti mkubwa zaidi barani Afrika na ambao ni wa tatu kwa ukubwa duniani umefunguliwa rasmi leo Jumatano, Oktoba 28, 2020 kwa kusaliwa Sala ya jamaa nchini Algeria. Hayo yametangazwa…
Waislamu duniani wachachamaa kumnusuru Nabii wa rehema
Hasira za Waislamu katika kona mbalimbali za dunia zimeongezeka kwa ajili ya kumnusuru Nabii wa rehema, Mtume Muhammad SAW baada ya kuvunjiwa heshima huko Ufaransa. Viongozi, maulamaa, watu muhimu na…
Magwiji wanne wa qiraa wakisoma Surat al Balad
Hapa chini tumeweka sauti za maqarii wanne wakubwa wa Qur’ani Tukufu (Mwenyezi Mungu awarehemu) wakisoma aya za mwanzoni mwa Surat al Balad. Maqarii hao ni Maustadh Abdul Basit Muhammad Abdus…
Umoja wa Kiislamu kufanya mkutano wake wa kila mwaka kwa njia ya Intaneti
Mkutano wa 34 wa Umoja wa Kiislamu mwaka huu umepangwa kufanyika kwa njia ya Intaneti katika eneo la Mashariki na Kusini Mashariki mwa Asia kuanzia siku chache zijazo. Mkutano huo…
Al Azhar yalaani mauaji ya wanawake wavaa Hijab nchini Ufaransa
Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar cha nchini Misri kimelaani mauaji ya wanawake wawili Waislamu waliokuwa wamevaa vazi la staha la Hijab na kusisitizia msimamo wake wa daima wa…
Waislamu wa Korea Kusini + Picha
Waislamu wa Korea Kusini wamegawanyika mafungu mawili, wenye asili ya Korea na wasio na asili ya Kora. Waislamu hao wana tajiriba, uzoefu na daghadagha ambazo ni simulizi za kuvutia. Licha…
Ibada ya Umra kwa walioko nje ya Saudia kuruhusiwa karibuni hivi
Wizara ya Hija na Umra ya Saudi Arabia imetangaza kuwa, iko tayari kupokea Waislamu kwa ajili ya ibada za Hija na Umra kutoka nje ya Saudia. Abdulrahman Shams, mwakilishi wa…