Nigeria kutumia madrasa za Qur’ani kudhibiti watoto wa mitaani
Mkuu wa jimbo la Niger (Niger State) la katikati mwa Nigeria na ambalo ndilo jimbo kubwa zaidi katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika ametangaza habari ya kufunguliwa kituo kikuu…
Mkuu wa jimbo la Niger (Niger State) la katikati mwa Nigeria na ambalo ndilo jimbo kubwa zaidi katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika ametangaza habari ya kufunguliwa kituo kikuu…
Sheikh Mkuu wa Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri maarufu kwa jina la Shaikhul Azhar, ametuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook na kusema kuwa, kitendo cha maadui…
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC na Chuo Kikuu cha al Azhar cha nchini Misri kimetoa taarifa tofauti za kulaani kuchomwa moto nakala ya Qur’ani Tukufu katika mji wa Malmö…
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Audio hii hapa chini ni sehemu ya kwanza ya mfululizo wa masomo ya tajwidi ya Qur’ani Tukufu. Unaombwa kutoa maoni na mapendekezo yako…
Vyombo mbalimbali vya habari likiwemo shirika la habari la Sputnik na mtandao wa habari wa “alkompis” vimeripoti habari ya kupigwa marufuku maandamano ya maadui wa Uislamu ambao walikusudia kuchoma moto…
Jina lake kamili ni Uthman ibn Abduh ibn Husayn ibn Taha al Kurdi maarufu kwa jina la Uthman Taha (عثمان طه). Ni mwandishi mashuhuri zaidi wa Qur’ani Tukufu katika zama…
Wazazi nchini Brunei Darussalam wameelezea kufurahishwa sana na uamuzi wa kufunguliwa upya masomo ya Qur’ani katika kituo cha Jame’ ‘Asr Hassanil Bolkiah baada ya kufungwa kwa miezi kadhaa kutokana na…
Sheikh Mahmoud Ibrahim Amir, ni mmoja wa wasomaji wenye sauti nzuri wa Qur’ani Tukufu raia wa Misri licha ya kwamba Mwenyezi Mungu amemnyima neema ya kuona. Sheikh Amir ambaye pia…