Kampeni ya kutangaza mchango wa Waislamu nchini Uingereza
Mwezi wa kuwazindua watu kuhusu hatari za kueneza chuki dhidi ya Uislamu nchini Uingereza, huadhimishwa mwezi Novemba kila mwaka kwa ajili ya kuwaelimisha watu kuhusu Uislamu na kufuta fikra potofu…
Video: Ustadh Abdul Basit akisoma aya ndefu zaidi ya Qur’ani Tukufu
Aya ya 282 ya sura ya pili ya al Baqarah, ndiyo aya ndefu zaidi ya Qur’ani Tukufu. Ni aya inayohusiana na masuala ya uchumi kukopeshana na kulipana. Hapa chini tumeweka…
Waziri wa zamani wa Senegal awarejeshea Wafaransa nishani yao kulalamikia kutukanwa Mtume
Waziri na balozi wa zamani wa Senegal amewarejeshea Wafaransa nishani yao waliyowahi kumpa, ikiwa ni sehemu ya kuonesha kukerwa kwake mno na vitendo vya kumvunjia heshima Nabii wa rehema, Mtume…
Picha: Sala ya Ijumaa katika Masjid al Haram, Makka
Waislamu mjini Makka wametekeleza ibada ya Sala ya Ijumaa kwa kuchunga taratibu na miongozo yote ya watu wa afya kwa ajili ya kujiepusha na maambukizo ya COVID-19. Mamlaka ya kusimamia…
Hatimaye Idul Fitr yatambuliwa kuwa sikukuu rasmi, Detroit, Marekani
Wilaya ya Detroit ya jimbo la Michigan nchini Marekani imeitambua rasmi Idul Fitr kuwa sikukuu rasmi kwa wanafunzi Waislamu. Mtandao wa “Chalkbeat” umeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, baada ya…
Al Azhar yaishukuru Ubelgiji kwa kuwatimua maadui wa Uislamu
Kitengo cha Kupambana na Misimamo Mikali cha Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri kimeishukuru serikai ya Ubelgiji kwa kuwatimua na kuwafukuza maadui watano wa Uislamu waliokuwa na nia ya…
Polisi Ufaransa wamtia mbaroni aliyetaka kuchoma moto msahafu
Polisi nchini Ufaransa wamemtia mbaroni Rasmus Paludan, raia wa Denmark mwenye chuki na Uislamu na Waislamu ambaye pia ni mkuu wa chama cha Stram Kurs chenye misimamo mikali. Paludan amekwenda…
Watu wenye chuki wavamia Msikiti nchini Ujerumani, 12 washitakiwa mahakamani
Msikiti mkuu wa al Aqsa huko Berlin, mji mkuu wa Ujerumani, Alkhamisi, Novemba 12, 2020 ulivamiwa na watu wasiojulikana. Mtandao wa habari wa “al Umma” umeripoti habari hiyo na kumnukuu…
Waislamu washinda kesi ya Hijab mjini New York Marekani
Wanawake wanne Waislamu wanaochunga vazi la staha la Hijab wameshinda kesi mahakamani mjini New York Marekani. Wanawake hao Waislamu walifungua kesi mahakamani baada ya kulazimishwa kuvua Hijab zao kwa ajili…
Picha: Msikiti wa ghorofa 10 unaovutia watu wengi
Vivutio vya watalii nchini Indonesia ni vingi. Usanifu majengo wa Kiislamu, ni sehemu muhimu sana katika ustaarabu na utamaduni wa Indonesia. Miongoni mwa usanifu majengo unaostaajabisha walimwengu ni wa misikiti…