Ni kipi cha kujilabu?
Ni shairi kutoka kwa Ali Othman Masoud wa Zanzibar ***** Hivi hii rangi yangu, weupe wa kusifika, zawadi ya Bwana Mungu, wahadahu Lasharika, niwadharau wenzangu, huku siko kupotoka? Si jambo…
Daktari baniani Canada atibu wagonjwa kwa Qur’ani
Daktari mmoja wa dini ya Kihindu (Kibaniani) anayeishi nchini Canada anatumia visomo vya Qur’ani kuharakisha kupona wagonjwa wake. Mdandao wa “The Siasat Daily” umeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, Daktari…
Msahafu mrefu zaidi wazinduliwa India
Nakala ndefu zaidi ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa kwa mkono kwenye kitambaa cha kilomita 3.1 imezinduliwa nchini India. Toleo la mtandaoni la gazeti la kila siku la The New Indian Express…
Waislamu wahimizwa kutodharau fani za kusoma
Misikiti nchini Uganda jana Ijumaa ilianza tena kutekeleza ibada za Sala ya Ijumaa baada ya kusimamishwa tangu mwezi Machi mwaka huu kutokana na janga la COVID-19. Vyombo mbalimbali vya ndani…
Al Azhar yakubali kufungua masomo ya Qur’ani
Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar cha nchini Misri leo Jumamosi kimeidhinisha kuanza masomo ya Qur’ani yaliyokuwa yamesimamishwa nchini humo kutokana na maambukizo ya kirusi cha corona. Mtandao wa…
Wamisri wataka harakati za Qur’ani zianze tena
Maimamu na makhatibu wa misikiti nchini Misri pamoja na vyuo vya Qur’ani na vituo vya kielimu vya nchi hiyio vimeitaka Wizara ya Wakfu ifungue upya harakati za Qur’ani na elimu…
Sherehe za “Milango Wazi ya Misikiti” kufanyika Ujerumani
Misikiti ya miji kadhaa ya Ujerumani imeamua kufanya sherehe za “Milango Wazi ya Misikiti” kama sehemu ya kusherehekea siku Ujerumani Magharibi na Ujerumani Mashariki zilipoungana. Hayo yameripotiwa na mtandao wa…
Waziri Mkuu wa New Zealand avaa Hijab mbele ya Waislamu + Picha
Sherehe za kuzindua makumbusho ya Waislamu 51 waliouawa shahidi misikitini huko New Zealand zimeongozwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Bi Jacinda Ardern. Vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kwa wingi…
Mmiliki bora wa benki za Kiislamu wa 2020 achaguliwa Mashariki ya Kati
Mmiliki bora wa Benki za Kiislamu kwa mwaka huu wa 2020 amechaguliwa katika eneo la Mashariki Kati. Mtandao wa habari wa “PK Obsever” umesema kuwa Meneja Mkuu wa Qatar Islamic…
Masomo ya Tajwidi sehemu ya mwisho: Naghma ya Rast
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi kwa Kiswahili, audio hii hapa chini ni ya nane na ya mwisho ya mfululizo wa masomo haya.…