Wanawake 66 waingia katika fainali za mashindano ya Qur’ani nchini Iraq
Wanawake 66 wamefanikiwa kuingia katika fainali za mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu nchini Iraq, mashindano ambayo yanaendeshwa na kusimamiwa kikamilifu na wanawake wenyewe. Tovuti ya “Markaz al Qur’an…
Picha: Ujenzi wa Msikiti na kituo kipya cha Kiislamu unaendelea New Jersey, Marekani
Ujenzi wa Msikiti na kituo kipya cha Kiislamu unaendelea katika mji wa East Brunswick wa jimbo la New Jersey nchini Marekani. Kwa mujibu wa tovuti ya “Tapinto” uzinduzi wa ujenzi…
Msikiti wa kuvutia uliozungukwa na maji kila upande nchini Malaysia
Masjid al Rahman, ni Msikiti wa aina yake uliojengwa katikati ya mto kwenye kijiji cha Pulau Gajah, karibu na Kora Bharu, Kelantan, huko kaskazini mashariki mwa Malaysia. Miongoni mwa vivutio…
Mchungaji akarabati Msikiti wa miaka 60 kulipa fadhila alizofanyiwa na Waislamu
Mchungaji mmoja wa Nigeria ambaye hivi sasa anaishi Minnesota Marekani ameamua kuukarabati Msikiti wa miaka 60 huko Ikire, katika jimbo la Osun, kusini magharibi mwa Nigeria ili kulipa fadhila alizofanyiwa…
Kazan; mwenyeji wa kikao cha kimataifa cha kiuchumi baina ya Russia na Ulimwengu wa Kiislamu
Kikao cha 12 cha kiuchumi baina ya Russia na nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiislamu OIC maarufu kwa jina la Baraza la Kazan, kimeanza katika makao makuu hayo…
Mahakama ya Umoja wa Ulaya yatoa hukumu ya kukandamiza wanawake Waislamu
Mahakama ya Umoja wa Ulaya (CJEU) imetoa hukumu ya kukandamiza uhuru wa mavazi wa wanawake wawili Waislamu wa nchini Ujerumani. Vyombo mbalimbali vya habari kama France24, Reuters, Arabi21 n.k, vimeripoti…
Sala ya Idul Adh’ha kusaliwa kwenye uwanja wa michezo kwa mwaka wa pili mfululizo huko Ireland
Kwa mwaka wa pili mfululizo, Sala ya Idul Adh’ha inatarajiwa kusaliwa katika uwanja mkubwa wa michezo katika mji mkuu wa Ireland, Dublin, wiki ijayo Kwa mujibu wa Irish Times, Waislamu wa…
Rais wa Uturuki alaani kushambuliwa kanisa mjini Istanbul
Kundi la watu wwenye siasa kali waanaojiita wapenda utaifa nchini Uturuki wameshambulia kanisa la Warmenia mjini Istanbul na baadaye wamepanda juu ya kanisa hilo, wakaanza kupiga muziki na kucheza. Jambo…
Masomo ya Qur’ani mtandaoni yastawi msimu wa joto kali nchini Oman
Wizara ya Wakfu ya Oman imetangaza kuwa, masomo ya kipindi cha joto kali ya Qur’ani Tukufu yamestawi katika msimu huu wa joto kali nchini Oman. Kwa mujibu wa tovuti ya…
Kwa mara ya kwanza Iran yaipelekea Oman shehena ya tani 2000 za lami
Kwa mara ya kwanza, Iran imeipelekea Oman shehena ya tani 2000 za lami. Shehena hiyo imeelekea nchini Oman kutoka kwenye mji wa bandari wa Bandar Lengeh wa kusini mwa Iran.…