Mashindano ya kimataifa ya Qarii wa Dunia wa Quds yaanza Palestina
Awamu ya pili ya mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu yaliyopewa jina la “Qarii wa Dunia wa Quds” imefanyika katika mji wa Baytul Muqaddas kwa hima ya kikundi kimoja cha…
Awamu ya pili ya mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu yaliyopewa jina la “Qarii wa Dunia wa Quds” imefanyika katika mji wa Baytul Muqaddas kwa hima ya kikundi kimoja cha…
Mahakama Kuu nchini Misri imepasisha hukumu ya kutolewa adhabu kwa yeyote atakayechapisha Msahafu na Hadithi za Mtume kiholela na bila ya kibali. Mtandao wa habari wa al Misr al Yaum…
Bi Shatita Abdul ‘Azīm Darwish (ستیته عبدالعظیم دوریش), ni bimkubwa wa miaka 58 raia wa Misri ambaye umri wake wote ameuweka wakfu kwa ajili ya kukitumikia Kitabu cha Allah cha…
Mwandishi wa Qur’ani Tukufu mwenye umri mdogo zaidi nchini Misri amepewa kibali cha kuandika Kitabu hicho kitakatifu na Chama cha Waandishi wa Khat (Kaligrafia – Calligraphy) cha nchi hiyo. Mtandao…
Sheikh Muhammad Siddiq al Minshawi mmoja wa maqarii bingwa wa Qur’ani Tukufu alizaliwa tarehe 20 Januari, 1920 katika mji wa al Minshah katika mkoa wa Sohag wa kusini mwa Misri.…
Jumba la Makumbusho ya Ustaarabu wa Kiislamu la Sharjah nchini Imarati (UAE) ni moja ya makumbusho makubwa zaidi katika ukanda mzima wa magharibi mwa Asia. Miongoni mwa vitu vya thamani…
Masomo daraja ya juu ya kanuni na hukmu za Qur’ani Tukufu; maalumu kwa ajili ya walimu wa Qur’ani wa kiume na kike wa Indonesia yanaendelea hivi sasa kwa njia ya…
Licha ya Somalia kutumbukia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe tangu mwaka 1991 hadi hivi sasa, lakini usomeshaji wa Qur’ani ikiwemo hifdh unaendelea. Si kazi rahisi kuendelea na usomeshaji huo,…
Shaykha Maryam Niasse maarufu kwa jina la Shaykha Maryam, ni mmoja wa watu muhimu sana walioitumikia Qur’ani katika umri wao wote nchini Senegal. Kwa mujibu wa “Sahara Medias,” Shaykha Maryam…
Mufti Mkuu wa Misri amelaani shambulio la kigaidi lililofanywa dhidi ya watu waliokuwa wanasoma Qur’ani nchini Afghanistan na kuua na kujeruhi Waislamu wengi. Mtandao wa habari wa al Masry al…