Siku ya kwanza ya urais wake, Biden aruhusu rasmi Waislamu kuingia Marekani
Saa chache tu tangu baada ya kuapishwa kuwa rais wa 46 wa Marekani, Joseph Robinette Biden Jr. amekwenda katika Ikulu ya nchi hiyo White House na kutia saini amri na…
Picha na Video: Maandishi nadra na ya kale kabisa ya Qur’ani katika makumbusho ya Sharjah
Jumba la Makumbusho ya Ustaarabu wa Kiislamu la Sharjah nchini Imarati (UAE) ni moja ya makumbusho makubwa zaidi katika ukanda mzima wa magharibi mwa Asia. Miongoni mwa vitu vya thamani…
Masomo ya juu ya walimu wa Qur’ani yaendeshwa mtandaoni baina ya Iraq na Indonesia
Masomo daraja ya juu ya kanuni na hukmu za Qur’ani Tukufu; maalumu kwa ajili ya walimu wa Qur’ani wa kiume na kike wa Indonesia yanaendelea hivi sasa kwa njia ya…
Human Rights Watch yailalamikia Ufaransa kwa kuuhesabu Uislamu kuwa tishio la “kigaidi”
Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limeilalamikia serikali ya Emmanuel Macron ya Ufaransa kwa msimamo wake wa kuihesabu dini ya Kiislamu kuwa tishio la “kigaidi” na kusisitiza…
Video + Picha Msikiti wenye muundo wa ajabu nchini Russia
Msikiti wa Lala Tulpan ulioko mjini Ufa, makao makuu ya Jamhuri ya Bashkortostan nchini Russia ni moja ya misikiti mikubwa zaidi nchini Russia na ni maarufu kwa muundo wake wa…
Idadi ya Waislamu na Misikiti yaongezeka kwa kasi nchini Japan
Taarifa kutoka nchini Japan zinasema kuwa, idadi ya raia wa nchi hiyo wanaosilimu na kuingia katika dini tukufu ya Kiislamu inaongezeka sana siku hadi siku. Idadi ya Waislamu wenye asili…
Kwa mara ya kwanza mwanamke mwenye Hijab kuonekana mubashara runingani nchini Canada
Mwanamke wa anayevaa vazi la staha la Waislamu, Hijab, ameteuliwa kwa mara ya kwanza kabisa kuendesha kipindi mubashara katika televisheni katika historia yote ya Canada. Vyombo vya habari vimeripoti habari…
Serikali ya Ethiopia kuukarabati Msikiti wa Najjashi
Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa, itaukarabati Msikiti wa Najjashi wa kaskazini mwa nchi hiyo ambao ni moja ya Misikiti ya kale zaidi katika Ulimwengu wa Kiislamu. Msikiti huo uliharibiwa wakati…
Picha na Video: Msikiti mwekundu; kivutio cha kipekee cha utalii Sri Lanka
Msikiti mkuu wa Colombo, mji mkuu wa Sri Lanka ambao ni maarufu kwa jina la Msikiti Mwekundu, ni kivutio cha kipekee kabisa cha utalii kutokana na muundo na usanifu majengo…
Video na Picha: Msikiti mdogo zaidi duniani; hatarini kuporomoka
Msikiti wa Mir Muhammad Shah wa jimbo la Heyderabad, kusini mw India, ni moja ya Misikiti midogo zaidi inayojulikana duniani leo hii ingawa sasa hivi uko katika hatari kubwa ya…