Jumuiya ya Misaada ya Uturuki yagawa misahafu 30,000 nchini Djibouti
Taasisi moja ya misaada ya nchini Uturuki imegawa misahafu 30 elfu nchini Djibouti kwa ajili ya kuwarahishia Waislamu wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kujifunza vizuri Kitabu hicho kitakatifu.…
Bunge la Iraq lataka kufanyike mkutano wa kimataifa qa maqarii wa Qur’ani
Makamu wa Kwanza wa Spika wa Bunge la Iraq ameitaka serikali ya nchi hiyo iitishe mkutano wa kimataifa wa maqarii wa Qur’ani Tukufu mjini Baghdad. Hayo yameripotiwa na mtandao wa…
Mahakama ya Katiba Austria yafuta marufuku ya Hijab mashuleni; ushindi kwa Waislamu
Mahakama ya Katiba ya Austria imefuta marufuku ya kuvaa vazi la staha na nembo za kidini katika shule za msingi za nchi hiyo ikisisitiza kwamba marufuku hiyo ni kinyume na…
Sauti: Kasida ya “Yaa Aadhwima Swifati Khuluqan”
Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Tuna furaha kuona leo pia tumweza kuweka hapa kipande kizuri na cha kuvutia cha Qasida ambayo kwa hakika mtu unatamani kuisikiliza muda wote. Haichoshi kuisikiliza hasa…
Viongozi wa Kiislamu wa Russia wakutana kujadili njia za kuishi Kiislamu
Msikiti Mkuu wa al Mardzhani Kazan wa Waislamu wa Jamhuri ya Tatarstan nchini Russia umekuwa mwenyeji wa kikao cha viongozi wa Kiislamu kutoka kona zote za nchi hiyo. Kikao hicho…
Muislamu wa kwanza kabisa katika historia ateuliwa katika bunge la jimbo nchini Marekani
Baraza la Uhusiano wa Marekani na Uislamu (CAIR) katika jimbo la California limetangaza habari ya kuteuliwa mubalighi wa Kiislamu wa kwanza kabisa kuwa mwakilishi katika bunge la jimbo hilo. Anthony…
Picha: Msikiti Mkubwa zaidi katika eneo la Nusu ya Kusini mwa Dunia uko Afrika Kusini
Msikiti wa Nizamiye unaojulikana kwa majina maarufu ya Nizamiye Mosque na Nizamiye Masjid, ndio Msikiti mkubwa zaidi katika eneo la nusu ya kusini ya dunia. Msikiti huo uko katika mji…
Video: Muislamu mpya wa Korea alivyoathiriwa na tartili ya Qur’ani Tukufu
Nuru ya Uislamu inapoingia haichagui kabila wala rangi, wala ukoo na wala nchi anayotoka mtu. Mbele ya Mwenyezi Mungu wanadamu wote ni wamoja. Wote wameumbwa kwenye nafsi moja. Katika mitandao…
Mkutano wa kukabiliana na chuki dhidi y a Uislamu kufanyika London Uingereza Disemba 13
Jumuiya ya Haki za Wanadamu ya Kiislamu ya nchini Uingereza, imepanga kuitisha mkutano wake wa saba wa kila mwaka chini ya kaulimbiu ya kukabiliana na ongezeko la chuki dhidi ya…
Baada ya kuongezeka idadi ya Waislamu, New Jersey, Marekani, kwaanza kujengwa Msikiti mpya
Shirikisho la Waislamu wa New Jersey limeanza kujenga Msikiti mpya wa kuweza kukidhi ongezeko la Waislamu katika jimbo hilo la kaskazini mashariki mwa Marekani. Mtandao wa “NJ -True Jersey” umeripoti…