Waislamu wa Thailand na mkakati wa tasnia ya Halal
Licha ya kuwa Waislamu nchini Thailand ni jamii ya wachache ikilinganishwa na Mabudha, lakini Waislamu hao wameonesha uwezo mkubwa wa kupata watengenezaji wa vyakula vya halali na vinywaji. Kwa mujibu…
Mashindano ya 6 ya kimataifa ya Qur’ani kufanyika Port Said nchini Misri
Waziri Mkuu wa Misri ametangaza kuafikiana na mpango wa kufanyika Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur’ani huko Port Said, Misri. Kwa mujibu wa Al-Mal News, Waziri Mkuu wa Misri,…
Al Jazeera: Waislamu kunyimwa uraia katika sheria mpya za Uingereza
Taasisi ya Mahusiano ya Mbari imetangaza habari ya kuanzishwa sheria mpya nchini Uingereza ambazo zinaruhusu kupokonywa uraia wa nchi hiyo Waislamu na kugeuzwa kuwa raia wa daraja la pili. Televisheni…
Al-Azhar: Chuki dhidi ya Waislamu katika vyombo vya habari vya Magharibi zimeongezeka
Taasisi ya Al-Azhar Observer ya Chuo Kikuu cha al Azhar cha imesema katika ripoti yake kuwa, matamshi ya chuki dhidi ya Waislamu katika vyombo vya habari vya Magharibi yameongezeka huku…
Mabaniani India wataka watumie Msikiti kufanya hafla yao; mahakama yawasaidia
Waislamu nchini India wameilalamikia mahakama moja ya nchi hiyoi kwa kutupilia mbali ombi lao la kupuuza shauri la wanawake wa kibaniani la kutaka kuupora Msikiti wao. Ikumbukwe kuwa, kundi moja…
Sheikh al Azhar atoa amri ya kusaidiwa waathiriwa wa mafuriko Sudan
Rais wa wa Chuo Kikuu cha al Azhar ch Misri maarufu kwa jina la Shaykhul Azhar ametoa amri ya kutumiwa mfuko wa Zaka na Sadaka kuwafikishia misaada ya haraka ya…
Sita watiwa mbaroni Indonesia kwa kueneza ufuska wa pombe kwa jina la Uislamu
Maafisa wa Indonesia wamewatia mbaroni watu 6 kwa tuhuma za kuvunjia heshima matukufu ya Uislamu kupitia kueneza ufuska wa kunywa pombe nchini humo kwa jina la Uislamu. Kwa mujibu wa…
Vivutio vya Kiislamu, chakula cha halali (Halal Food) vyaongeza watalii Sri Lanka
Serikali ya Sri Lanka imeanzisha kampeni maalumu ya kutangaza vivutio vya Kiislamu na chakula halali ili kuongeza idadi ya watalii wa kigeni wanaotembelea nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia.…
Wananchi wa Bosnia waadhimisha miaka 512 ya kuingia kwenye dini tukufu ya Kiislamu
Wananchi wa Bosnia wamefanya sherehe na tamasha kubwa la kiutamaduni linalojulikana kwa jina la Ayvaz Dede ili kusherehekea mwaka wa 512 wa tangu taifa hilo la Ulaya Mashariki kuingia katika…
Israel inaendeleza ubaguzi dhidi ya Wapalestina
Kampeni ya Kimataifa ya kupambana na Ubaguzi wa Israel na kukalia kwake kwa mabavu ardhi za Wapalestina imesema kuwa, Tel Aviv inaendeleza ubaguzi na jinai zake dhidi ya watu wa…