Emoji za WhatsApp zinaweza kukupeleka jela nchini Oman
Kitendo cha kutumia emoji za WhatsApp kwa sura ya kuwafanyia istihzai watu wengine kinaweza kumfungisha jela mtu kwa miaka isiyopungua mitatu au faini isiyopungua Riali 5,000 za Oman. Hayo yamebainishwa…
Wanachuo Waislamu Uskochi walishwa nguruwe
Matatizo ya chakula yaliyojitokeza katika Chuo Kikuu cha Edinburgh huko Uskochi (Scotland) katika kipindi cha karantini ya COVID-19 na kulishwa sandwich za nyama ya nguruwe wanachuo Waislamu wa chuo hicho,…
Waliovunja msikiti India wafutiwa kesi
Mahakama moja nchini India imewafutia kesi viongozi wote wa zamani na wa hivi sasa wa chama tawala waliohusika katika jinai ya kuvunja msikiti wa kihistoria nchini humo mwaka 1992. Gazeti…
Maandalizi ya ibada ya Umra mjini Makkah, Saudi Arabia + Picha
Maandalizi ya kuwapokea Waislamu wafanya Umra na Ziara yanaendelea katika miji mitakatifu ya Makkah na Madina. Vyombo mbalimbali vya habari vimeakisi habari hiyo na kuunukuu uongozi wa masuala ya Masjidul…
Zoezi la kupiga dawa Misikiti lafanyika Misri + Picha
Mtandao wa habari wa al Yaum al Sab’i umeripoti kuwa, Idara ya Wakfu ya Mkoa wa Giza wa pembeni mwa Mto Nile imetoa amri ya kupigwa dawa misikiti yote mkoani…
Qasida: Yaa Rabbal Arkan
Hapa chini tumeweka kipande cha audio cha Qasida iitwayo “Yaa Rabbal Arkan.” Ni ya kuvutia kusema kweli. Isikilize.
Qasida: Yaa Rabb! Taqabbal Tawbatana
Hapa chini tumekuwekea kipande kizuri na chenye mvuto wa kipekee cha video ya Qasida maarufu ya Yaa Rabb Taqabbal Tawbatana. Kwa kweli inavutia. Namuomba Allah atutakabalie toba zetu.
Waislamu 16,000 wajiandikisha ibada ya Umra
Raia 16 elfu wa Saudi Arabia pamoja na wageni waishio nchini humo wametumia application ya kujiandikisha kwa ajili ya ibada ya Umra katika hatua ya awali ya uandikishaji huo. Gulf…
Aliyeivunjia heshima Qur’ani atiwa mbaroni Kuwait
Jeshi la polisi limemtia mbaroni mtu mmoja mwenye asili ya Asia baada ya kuenea mkanda wa video katika mitandao yakijamii nchini Kuwait, unaoonesha mtu huyo akikivunjia heshima Kitabu Kitakatifu cha…
Misikiti Oman kufunguliwa mwezi Novemba, lakini…
Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini ya Oman imetangaza kuwa, imekusudia kufungua tena misikiti na maeneo ya ibada nchini humo lakini kwa sharti hali ya maambukizo ya corona yawe…