Umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu wamjibu Rais wa Ufaransa aliyeuvunjia heshima Uislamu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu amejibu matamshi yaliyo dhidi ya Uislamu yaliyotolewa na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron aliyedai kuwa eti dini ya Kiislamu ni hatari kwa…
Ujue Mas-haf Tokyo; Msahafu wa kwanza Asia Mashariki 1934 + Picha
Msahafu wa kwanza kabisa kuchapishwa katika ukanda wa Asia Mashariki unajulikana kwa jina la Mas-haf Tokyo. Msahafu huo ulichapishwa mwaka 1934 baada ya kuasisiwa kiwanda cha Kiislamu cha kupiga chapa…
Shirika la Ufaransa lililowadunga UKIMWI Waislamu Iraq, kushtakiwa
Familia za wahanga wa kitendo cha kihalifu cha shirika moja la Ufaransa cha kuingiza damu chafu ya UKIMWI nchni Iraq zimetaka shirika hilo lishtakiwe kwa jinai yake hiyo. Kwa mujibu…
Video: Waziri Mkuu wa Malaysia akisoma Qur’ani na mkewe
Video inayomuonesha Waziri Mkuu wa Malaysia, Muhyiddin bin Haji Muhammad Yassin akisoma Qur’ani na mkewe imeenea sana katika mitandao ya kijamii, suala ambalo linaonesha wananchi wengi wa nchi za Kiislamu…
Ukurasa wa Msahafu wa kale zaidi kupigwa mnada nchini Uingereza
Athari kadhaa za sanaa za mkono za zama za kale za Uislamu ukiwemo ukurasa wa Msahafu wa zamani zaidi wa Qur’ani Tukufu katika Christie’s zitapigwa mnada mwishoni mwa mwezi huu…
Mkuwait mmoja apata umaarufu kwa kuweka bango la ramani ya Palestina mbele ya nyumba yake
Raia mmoja wa Kuwait amepata umaarufu sana katika mitandao ya kijamii kwa kuweka bango la ramani ya ardhi ya Palestina mbele ya nyumba yake ikiwa ni kutangaza upinzani wake kwa…
Afisa wa serikali Marekani atakiwa kujiuzulu kwa chuki zake dhidi ya Waislamu
Baraza la Uhusiano na Marekani na Uislamu jana Jumamosi lilijiunga na asasi za eneo la Joplin kumtaka Mkuu wa Kaunti ya Jasper, John Bartosh ajiuzulu baada ya kupata jumbe zake…
Ripoti ya Human Rights Watch na mateso ya Waislamu wa Rohingya
Shirika la kimataifa la Human Rights Watch limetoa ripoti maalumu na kufichua mateso wanayoyapata Waislamu wa jamii ya Rohingya katika kambi za wakimbizi za eneo la Rakhine la magharibi mwa…
Kongamano la kuwaenzi Waislamu Waafrika laanza mtandaoni
Kongamano la kwanza kabisa la aina yake kuhusu Waislamu wenye asili ya Afrika limeanza mtandaoni kwa matumaini kwamba litaweza kuutangazia ulimwengu kazi kubwa zilizofanywa na Waislamu hao katika kuitumikia dini…
Waislamu waruhusiwa kuongeza idadi yao misikitini nchini Singapore
Kuanzia Jumatano ijayo ya Oktoba 7, 2020, misikiti 19 ya Singapore itaruhusiwa kuongeza maradufu idadi ya Waislamu wanaoshiriki kwenye Sala za Jamaa ikiwa ni sehemu ya mpango wa kufungua maeneo…