Mjue Qarii wa kwanza kurekodi Qur’ani nzima
Ustadh Mahmoud Khalil al Hussary, qarii maarufu wa Misri ambaye wakati alipokuwa safarini nchini Kuwait, alipata misahafu ambayo Wazayuni walikuwa wameitia mkono na kubadilisha baadhi ya aya zake, akapambana na…
T-shirt za hadithi ya Mtume zachapishwa Marekani
Makundi makuu ya haki za binadamu kwa kushirikiaana na taasisi ya mavazi ya Kiislamu ya California nchini Marekani yameamua kuanzisha kampeni ya kuchapisha fulana (T-shirt) zenye maandishi ya hadhithi ya…
Sala katika Msikiti wa al Aqsa zasimama kwa corona
Baraza la Wakfu wa Kiislamu katika mji mtakatifu wa Baytul Muqaddas huko Palestina, leo Jumatano limefikia uamuzi wa kusimamisha kutekelezwa ibada ya Sala katika Msikiti wa al Aqsa kwa muda…
UN yalaani unyama dhidi ya Waislamu Myanmar
Kamishna Mkuu wa Haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa amewasilisha ripoti yake na kusema kuwa, mashambulizi na unyama unaofanywa na jeshi na mabudha dhidi ya Waislamu wa jamii ya…
Mashindano ya maajabu ya kisayansi ya Qur’ani, Misri
Baraza la Utafiti wa Kiislamu la Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri kinaendesha mashindano ya kimataifa ya maajabu ya kisayansi ya Qur’ani Tukufu. Hayo yameripotiwa na mtandao wa habari…
Waislamu wa Sweden na sheria iliyo dhidi yao
Waislamu nchini Sweden wanaendesha kampeni za kupambana na sheria za nchi hiyo ambazo zinaruhusu kuvunjiwa heshima matukufu ya kidini. Hatua hiyo ya Waislamu wa Sweden imechukuliwa baada ya adui wa…
Waislamu Thailand wataka sheria za Kiislamu
Wawakilishi wa serikali ya Thailand ambao wamekwenda kusini mwa nchi hiyo kufanya mazungumzo na Waislamu wamesema kwamba pendekezo lililotolewa na Waislamu wa maeneo hayo ni kutaka siku ya Ijumaa iwe…
Mauritania wamuhami Mtume Muhammad SAW
Waislamu katika nchi ya magharibi mwa Afrika ya Mauritania wamefanya maandamano makubwa kupinga jinai ya jarida moja la Ufaransa la kumtovukia adabu ruwaza ya Waislamu, Mtume Muhammad SAW. Maandamano ya…
Mkutano wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu
Umoja wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu Duniani umeitisha mkutano wa kimataifa kwa ajili ya kujadiliana nafasi ya vyuo vikuu katika kutumikia jamii na kuzisaidia jamii hizo kutatua matatizo ya ulimwengu…
Masomo ya Tajwidi: Naghma ya Sika
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi, audio hii hapa chini ni ya sita ya mfululizo wa masomo haya. Inahusiana na maqam na naghma…