Tofauti baina ya fadhila na rehema + Sauti
Bismillahir Rahmanir Rahim. يَا أَيُّهَا النَّاسُ قَدْ جَاءَتْكُم مَّوْعِظَةٌ مِّن رَّبِّكُمْ وَشِفَاء لِّمَا فِي الصُّدُورِ وَهُدًى وَرَحْمَةٌ لِّلْمُؤْمِنِينَ – قُلْ بِفَضْلِ اللَّهِ وَبِرَحْمَتِهِ فَبِذَلِكَ فَلْيَفْرَحُواْ هُوَ خَيْرٌ مِّمَّا يَجْمَعُونَ (57)…
Maana ya Tasbihi + Sauti
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuhu. Ndugu yangu, Je unajua tasbihi ni nini? Tasbihi ni dhikri ambayo wawalikuwa wakiisoma mtawalia ndege na majabali pamoja na Nabii Daud AS. Qur’ani…
Polisi ya Sweden yawakandaniza wanaopinga kuchomwa moto Msahafu
Polisi nchini Sweden wamekandamiza maandamano ya watu wanaopinga kuchomwa moto Msahafu. Polisi hao wamekandamiza maandamano hayo na kumtia nguvu mmoja wa waandamanaji baada ya kusikika akipiga takbiri na kusema Allahu…
Mtaalamu wa dini Mjerumani: Qur’ani imetoa ufafanuzi mzuri kuhusu Ukristo
Klaus von Stosch, mhadhiri na mtaalamu wa dini katika Chuo Kikuu cha Cologne cha Ujerumani anaamini kwamba Qur’ani Tukufu imetoa ufafanuzi mzuri kuhusu Bibi Maryam SA mama wa Masih Isa…
Msanii wa Pakistan afanikiwa kufuma Qur’ani nzima katika penseli 8,000 + PICHA
Msanii mmoja raia wa Pakistan amepata taufiki ya kufuma aya zote za Qur’ani Tukufu kwenye penseli 8,000 katika kipindi cha miaka 10. Tovuti ya lugha ya Kiarabu ya televisheni ya…
Mabaniani wenye misimamo mikali wataka India nzima ipige marufuku Hijab mashuleni
Baada ya shule za jimbo la Karnataka nchini India kupiga marufuku vazi la staha la Hijab, magenge yenye misimamo mikali ya Kibaniani na Kihindu yameyataka majimbo mengine ya India yafuate…
Majambazi wawili wa kutumia silaha walioiba Msikitini watiwa mbaroni nchini Marekani
Baraza la Uhusiano wa Marekani na Uislamu limeitaka serikali ya nchi hiyo kuimarisha ulinzi katika maeneo ya Waislamu baada ya kutiwa mbaroni majambazi wawili kwa tuhuma za kufanya wizi wa…
Wanaharakati wa Palestina watoa mwito kwa Waislamu kushiriki kwa wingi Sala ya Alfajiri siku ya Ijumaa
Wanaharakati wa Palestina wametoa mwito wa Wapalestina wote, wajitokeza kwa wingi katika Sala ya Asubuhi ya Ijumaa ya wiki hii ya tarehe 11 Machi, 2022 itakayosadifiana na mwezi 8 Shaaban…
Al Azhar yatahadharisha kuhusu njama mbaya dhidi ya Msikiti wa al Aqsa
Taasisi ya kupambana na misimamo ya kuchupa mipaka inayofanya kazi chini ya Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri imetahadharisha kuhusu njama mbaya za Israel vamizi dhidi ya Kibla cha…
Video: Bikizee wa miaka 102 atangaza nia ya kugombea urais wa Nigeria 2023
Ajuza wa miaka 102 nchini Nigeria ametangaza nia yake ya kugombea urais wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika unaotarajiwa kufanyika mwakani 2023. Kwa mujibu wa tovuti ya “Naija News,”…