Mmiliki wa Facebook apata hasara ya dola bilioni 7 kwa masaa machache; taarifa bilioni 1.5 zadukuliwa, zapigwa mnada
Vyombo mbalimbali vya habari duniani jana Jumatatu vilitangaza kuwa, baada ya kupita masaa manne ya kukwama kutoa huduma shirika la mtandao wa kijamii la Facebook, mkuu wa shirika hilo, Mark…
Taarifa mpya kuhusu takwimu za kutisha za udhalilishaji wa watoto kijinsia makanisani Ufaransa
Matokeo ya uchunguzi mpya uliofanywa kwenye makanisa ya Ufaransa unaonesha ,kuweko idadi kubwa mno ya udhalilishaji wa kijinsia wa watoto wadogo na huo ni mgogoro mkubwa zaidi kuwahi kuripotiwa kwenye…
Ufaransa yaendeleza chuki dhidi ya Uislamu yaamua kufunga misikiti mingine 6
Serikali ya Ufaransa imeamua kufunga Misikiti mingine 6 ikiwa ni muendelezo wa vitendo vyake vya chuki dhidi ya dini tukufu ya Kiislamu. Gérald Darmanin, waziri wa mambo ya ndani wa…
Kadhia ya Palestina yaakisiwa kwa wingi katika hotuba za viongozi wa nchi za Kiislamu UN
Viongozi wa nchi za Kiislamu wamelipa umuhimu mkubwa suala la Palestina katika hotuba zao kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwaka huu. Tovuti ya Umoja wa Mataifa imeripoti habari…
Tafsiri ya kale zaidi ya Qur’ani; hata viongozi wa nchi waitembelea + Picha
Nakala ya kale zaidi ya tafsiri ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa kwa hati za mkono inahifadhiwa hivi sasa katika maktaba ya makumbusho ya Alexandria nchini Misri na inavutia watu wengi wakiwemo…
Vijana waliohifadhi Qur’ani waenziwa kwa maandamano nchini Misri + Video
Wakazi wa kijiji kimoja cha kaskazini mwa Misri wamefanya maandamano katika maeneo tofauti ya kijiji hicho ili kuwaenzi vijana 115 waliohifadhi Qur’ani nzima wakiwemo watoto wadogo 80. Mtandao wa habari…
Licha ya unyanyasaji na ukandamizaji, idadi ya Waislamu yaongezeka Marekani
Gazeti la The Economist la nchini Uingereza limeripoti kuwa, licha ya kwamba katika kipindi cha miaka 20 iliyopita, Waislamu wamekuwa wakinyanyaswa, kukandamizwa na kushambuliwa kila upande lakini pamoja na hayo…
Mhadhiri wa Chuo Kikuu ahimiza wajibu wa kuisoma na kuielewa ipasavyo Qur’ani Tukufu
Ibrahim al Wazin, mhadhiri wa chuo cha Qur’ani cha mji wa Tanta nchini Misri ambacho ni kitengo cha Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri amesema kuwa, kuna umuhimu wa…
Corona yawafanya Wajerumani wengi warejee kwa Mungu
Katika kipindi chote hiki cha kuenea janga la corona nchini Ujerumani, wananchi wa nchi hiyo wamekumbwa na woga, kukosa usalama na maswali mengi yasiyo na majibu. Uchunguzi unaonesha kuwa, Wajerumani…
Nigeria kuwa mwenyeji wa maonyesho ya kimataifa ya Bidhaa Halali
Ofisi ya Biashara na Viwanda ya Abuja, mji mkuu wa Nigeria imetangaza mpango wa kuitishwa maonyesho ya kimataifa ya Bidhaa Halalikatika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika. Kwa mujibu wa…