Umoja wa Mataifa wataka kuongezwa misaada kwa wananchi wa Ghaza Palestina
Mratibu wa misaada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa huko Palestina ametaka kuongezwa misaada ya kibinadamu kwa wakazi wa Ukanda wa Ghaza. Licha ya Israel kulazimika kusimamisha vita vya hivi…
Waislamu Bolivia wamejipanga vizuri kuendeleza waliyojifunza mwezi wa Ramadhani
Kituo cha Kiislamu cha Bolivia katika mji wa Santa Cruz de la Sierra kimeanzisha harakati mpya za kuwasaidia wenye haja katika miji tofauti ya nchi hiyo ikiwa ni kuendeleza moyo…
Wabunge wataka Qur’ani iwe somo la lazima kwa taasisi zote za Sindh Pakistan
Wabunge wa Bunge la Jimbo la Sindh Pakistan wamewawasilisha muswada katika bunge hilo na kutaka Qur’ani Tukufu liwe somo la lazima kwa taasisi zote za elimu za jimbo hilo. Kwa…
Waziri wa Afya Uingereza awapongeza Waislamu kuhusu chanjo ya COVID-19
Waziri wa Afya ya Uingereza amewapongeza Waislamu wa nchi hiyo kwa kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha upigaji wa chanjo ya corona au COVID-19. Kwa mujibu wa The National News,…
Msikiti wa kale wa makuba 9, kivutio kikubwa cha utalii nchini Bangladesh + Picha
Msikiti wa kale wa makuba 9 ni moja ya majengo muhimu ya kihistoria nchini Bangladesh ambao una umri za karibu karne tatu au nne yaani miaka 300 hadi hadi 400.…
Kuwait kujenga makumbusho makubwa zaidi duniani kuhusu Mtume Muhammad SAW
Kuwait imeazimia kujenga Makumbusho makubwa zaidi duniani kuhusu maisha na sira ya Bwana Mtume Muhammad SAW. Shirika la habari la Anadolu limeripoti habari hiyo na kumnukuu Fehaid al Deehani, Mkurugenzi…
Waislamu 40,000 washiriki Sala ya Ijumaa Msikiti wa al Aqsa Palestina
Makumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika ibada ya Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo katika Kabla cha Kwanza cha Waislamu, Msikiti wa al Aqsa kwenye mji mtakatifu wa Baytul Muqaddas…
Wanafunzi wa Hifdh katika Msikiti Mkuu wa Makka waanza kujiandikisha
Idara ya Masuala ya Miongozo ya Kidini ya Saudi Arabia imeiwakilishi Idara Kuu ya Misahafu ya Nchi hiyo katika kuanzisha zoezi la kujiandikisha wanafunzi wa kuhifadhi Qur’ani Tukufu katika Msikiti…
Mbinu za Brunei za kuimarisha utalii wa kidini wa Kiislamu
Katika juhudi za kustawisha na kuongeza pato linalotokana na utalii wa kidini na wa Kiislamu, serikali ya Brunei imeamua kuitisha warsha na semina mbalimbali za kuongeza welewa wa wananchi wake…
Maulamaa wa India wataka Wapalestina waungwe mkono
Maulamaa wa India wametoa tamko la pamoja na huku wakilaani unyama unaofanywa na Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa na Ghaza, wametaka kuungwa mkono taifa linalodhulumiwa la Palestina na…