Misikiti 50 mipya yafunguliwa nchini Bangladesh katika sherehe za uhuru
Waziri Mkuu wa Bangladesh amefungua misikiti 50 mipya kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa nchi hiyo. Hayo yameripotiwa na mtandao wa habari wa Arab News ambao…
Waziri Mkuu wa Bangladesh amefungua misikiti 50 mipya kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa nchi hiyo. Hayo yameripotiwa na mtandao wa habari wa Arab News ambao…
Waziri wa Afya ya Uingereza amewapongeza Waislamu wa nchi hiyo kwa kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha upigaji wa chanjo ya corona au COVID-19. Kwa mujibu wa The National News,…
Wakuu wa Misikiti kadhaa nchini Ufaransa wamelalamikia vikali uamuzi wa hivi karibuni wa wizara ya kilimo ya nchi hiyo wa kupiga marufuku uchinjaji wa kuku Kiislamu. Wakuu wa Misikiti ya…
Milango ya Misikiti 4000 imefunguliwa baada ya kufungwa kwa zaidi ya miezi 9 kutokana na janga la corona. Televisheni ya France 24 imetangaza habari hiyo na kuongeza kuwa, Kamati ya…
Taarifa kutoka nchini Japan zinasema kuwa, idadi ya raia wa nchi hiyo wanaosilimu na kuingia katika dini tukufu ya Kiislamu inaongezeka sana siku hadi siku. Idadi ya Waislamu wenye asili…
Wizara ya Wakfu ya Oman imetangaza habari ya kuanza kufanya kazi mfumo maalumu wa elektroniki kwa ajili ya kutoa huduma zinazohusiana na misikiti na kurahisisha kuitambua misikiti na maeneo ya…
Kuanzia Jumatano ijayo ya Oktoba 7, 2020, misikiti 19 ya Singapore itaruhusiwa kuongeza maradufu idadi ya Waislamu wanaoshiriki kwenye Sala za Jamaa ikiwa ni sehemu ya mpango wa kufungua maeneo…
Mtandao wa habari wa al Yaum al Sab’i umeripoti kuwa, Idara ya Wakfu ya Mkoa wa Giza wa pembeni mwa Mto Nile imetoa amri ya kupigwa dawa misikiti yote mkoani…
Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini ya Oman imetangaza kuwa, imekusudia kufungua tena misikiti na maeneo ya ibada nchini humo lakini kwa sharti hali ya maambukizo ya corona yawe…
Misikiti ya miji kadhaa ya Ujerumani imeamua kufanya sherehe za “Milango Wazi ya Misikiti” kama sehemu ya kusherehekea siku Ujerumani Magharibi na Ujerumani Mashariki zilipoungana. Hayo yameripotiwa na mtandao wa…