Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alip jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki.

Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu. 

(Maryamu) akasema: Hakika mimi najikinga kwa Mwingi wa Rehema aniepushe nawe, ukiwa ni mchamngu. 

(Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako Mlezi ili nikubashirie tunu ya mwana aliyetakasika. 

(Visited 2 times, 1 visits today)

Leave a Reply

Your email address will not be published.

error: Content is protected !!