Mwalimu Mkuu na mwalimu wa darasa wasimamishwa kazi kwa kumzuia mtoto mwenye Hijab kuingia darasani Uturuki
Wizara ya Elimu ya Uturuki imetangaza kuwa, mwalimu mkuu na mwalimu wa darasa la nne mkoani İzmir nchini humo wamesimamishwa kazi kwa kumzuia mtoto aliyevaa vazi la staha la Hijab,…
Mpango wa kuwashirikisha wanawake katika uongozi wa Masjid al Haram waanza
Mkuu wa Masuala ya Msikiti Mtukufu wa Makkah (Masjid al Haram) na Msikiti wa Mtume huko Madina (Masjid al Nabi) nchini Saudi Arabia ametangaza kuanza mpango wa kuwashirikisha wanawake katika…
Mahakama Kuu Misri yatilia mkazo marufuku ya kuchapisha Qur’ani na Hadithi kiholela
Mahakama Kuu nchini Misri imepasisha hukumu ya kutolewa adhabu kwa yeyote atakayechapisha Msahafu na Hadithi za Mtume kiholela na bila ya kibali. Mtandao wa habari wa al Misr al Yaum…
Picha: Ibada za Kiislamu zapunguza uhalifu Afrika Kusini
Ibada za Kiislamu zinavyofanyika katika viunga vya mji wa Cape Town huko Afrika Kusini zimepunguza vitendo vya uhalifu mjini humo. Mtandao wa About Islam umeripoti habari hiyo na kusisitiza kuwa,…
Mkristo wa kwanza kuchukua shahada ya juu ya Sheria ya Kiislamu, afariki dunia
Dk Nabil Luqa Bibawi, msomi wa kwanza Mkristo wa Qibti wa Misri kuchukua shahada ya Uzamivu katika Sheria ya Kiislamu, amefariki dunia. Mtandao wa “Akhbarak” umeripoti habari hiyo na kuongeza…
Video na Picha: Msikiti na Kituo cha Kiislamu New York; usanifu wa kale na wa kisasa
Msikti na Kituo cha Kiislamu cha mjini New York Marekani kimejengwa kwa namna ya aina yake, ya kuchanganywa usanifu majengo wa kale wa Uthmania na wa kisasa na maeneo yake…
Kisa cha Bimkubwa aliyeweka wakfu umri wake wote kuitumikia Qur’ani + Picha
Bi Shatita Abdul ‘Azīm Darwish (ستیته عبدالعظیم دوریش), ni bimkubwa wa miaka 58 raia wa Misri ambaye umri wake wote ameuweka wakfu kwa ajili ya kukitumikia Kitabu cha Allah cha…
Picha na Video: ‘Taj Mahal;’ Msikiti wenye mvuto wa kipekee Mashariki ya Kati
Msikiti wa Fatimatuz Zahra (AS) wa nchini Kuwait, ambao ni maarufu kwa jina la Taj Mahal ya Mashariki ya Kati, ni katika majengo yenye mvuto wa kipekee kwenye eneo la…
Mwandishi mdogo zaidi wa Qur’ani apewa kibali cha kuandika Kitabu hicho
Mwandishi wa Qur’ani Tukufu mwenye umri mdogo zaidi nchini Misri amepewa kibali cha kuandika Kitabu hicho kitakatifu na Chama cha Waandishi wa Khat (Kaligrafia – Calligraphy) cha nchi hiyo. Nilianza…
Picha na Video: Jengo la Makumbusho ya Kiislamu, kivutio cha kipekee Australia
Makumbusho ya Kiislamu nchini Australia, ni kivutio cha kipekee kutokana na mvuto wa jengo lake kabla ya jambo lolote lile. Jengo hilo liko katika eneo la Thornbury jijini Melbourne, Victoria,…