Video: Mbinu ya kuhifadhisha Qur’ani Somalia
Licha ya Somalia kutumbukia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe tangu mwaka 1991 hadi hivi sasa, lakini usomeshaji wa Qur’ani ikiwemo hifdh unaendelea. Si kazi rahisi kuendelea na usomeshaji huo,…
Shaykha Maryam, mwasisi wa kituo kikubwa zaidi cha Qur’ani Tukufu nchini Senegal
Shaykha Maryam Niasse maarufu kwa jina la Shaykha Maryam, ni mmoja wa watu muhimu sana walioitumikia Qur’ani katika umri wao wote nchini Senegal. Kwa mujibu wa “Sahara Medias,” Shaykha Maryam…
Serikali kushirikiana vizuri na viongozi wa dini kujenga jamii bora Zanzibar
Na Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali anayoiongoza itahakikisha inashirikiana vyema na Jumuiya ya Maimamu Zanzibar (JUMAZA) katika…
Penye nia pana njia; licha ya ulemavu wa macho, Bi Aisha apata shahada ya Uzamili
*Asema, haikuwa rahisi Na Bakari Mwakangwale ULEMAVU wa Macho haukuwa kikwazo kwa Bi. Aisha Salum, katika juhudi za kujiendeleza kielimu, na sasa anatimiza ndoto yake akiwa Chuo Kikuu Cha Dar…
Waislamu Palestina wakasirishwa mno na kitendo cha Mayahudi cha kuuvunjia heshima Msikiti wa Nabii Musa AS
Baada ya kundi moja la Mayahudi kuuvunjia heshima Msikiti wa Nabii Musa AS huko Palestina, makumi ya Wapalestina wamemiminika kwenye Msikiti huo na kusali Sala ya jamaa, ili kuonesha uungaji…
Serikali ya Ufaransa yafunga shule pekee iliyokuwa inaruhusu nembo za kidini
Skuli pekee iliyokuwa inaruhusu nembo za kidini mjini Paris Ufaransa imefungwa na serikali ya Emmanuel Macron ambaye ameshindwa kuficha chuki zake dhidi ya mafundisho ya dini na hasa Uislamu. Gazetila…
HIVYO SAFARI HAYENDI
Na Mohammed K. Ghassani ****** Wajipigao vifua, kwa kujiita washindi Ilhali wanajuwa, visa na vyao vitimbi Hawepewa wechukua, kwa nguvu, kyedi na shindi Wakae wakitambuwa, hivyo safari hayendi. ******* Wajisifuo…
Baada ya kuzuka kirusi kipya UK, Oman yaamua kufunga mipaka yake yote, ardhini, baharini na angani
Mamlaka za Oman zimetangaza kuwa, kuanzia kesho Jumanne, Disemba 22, 2020, nchi hiyo itafunga mipaka yake yote ya ardhini, angani na baharini kwa muda wa wiki moja katika hatua za…
Mufti wa Misri alaani shambulio la kigaidi dhidi ya watu waliokuwa wanasoma Qur’ani nchini Afghanistan
Mufti Mkuu wa Misri amelaani shambulio la kigaidi lililofanywa dhidi ya watu waliokuwa wanasoma Qur’ani nchini Afghanistan na kuua na kujeruhi Waislamu wengi. Mtandao wa habari wa al Masry al…
Picha: Kisa cha mtoto wa miaka 6 aliyehifadhi Qur’ani nzima
Omar Makki, mtoto wa miaka 6 raia wa Misri aliyehifadhi Qur’ani nzima, amefanikiwa kuwa mwanachama mwenye umri mdogo zaidi wa Chama cha Maqarii na Mahufadh (wasomaji na waliohifadhi) wa Qur’ani…