Mwanafizikia wa kwanza Muislamu kushinda Nobel, aenziwa nchini Uingereza
Uingereza imemuenzi na kuthamini mchango wake, mwanafizikia wa kwanza kabisa Muislamu kushinda tunzo ya fizikia ya Nobel. Kwa mujibu wa shirika la habari la Sputnik, Idara ya Mirathi ya Uingereza…
Video ya Nadra ya Mufti wa Oman, Sheikh Ahmad al Khalili
Sheikh Ahmad bin Hamad al Khalili alizaliwa mwaka 1942 na familia ya watu walioshikamana vilivyo na Uislamu, visiwani Zanzibar. Sheikh al Khalili ambaye lakabu yake ni Abu Suliman, na ambaye hivi sasa…
Sauti – Adhana ya zamani kabisa kurekodiwa Msikiti wa Makkah, tangu takriban miaka 140 iliyopita
Adhana ya zamani kabisa kuwahi kurekodiwa katika Msikiti Mtakatifu wa Makkah (Masjid al Haram) ni hii yenye umri wa takriban karne moja na nusu, miaka 140. Adhana hiyo ilirekodiwa na…
Polisi ya Ufaransa yawanyanyasa watoto wa Kiislamu, yawahesabu ni “magaidi”
Gazeti la New York Times la nchini Marekani limeripoti kuwa, polisi wa Ufaransa wamevamia nyuma nne za watoto Waislamu na kuamiliana nao kama magaidi baada ya watoto hao kuwaambia walimu…
Kanisa lalalamikia kupungua idadi ya wafuasi wake duniani
Kanisa Katoliki duniani limelalamikia kuzidi kupungua idadi ya watu wenye hamu ya kuishi maisha ya kanisa na kushiriki katika ibada za kidini. Iwapo hali hiyo itaendelea, michango ya fedha itapungua…
Mchezaji wa Arsenal ataka Waislamu watumie vizuri Qur’ani kukabiliana na maadui
Mesut Özil, mchezaji nguli wa timu ya Arsenal ya nchini Uingereza ametumia aya ya Qur’ani Tukufu kutoa mwito kwa Waislamu kukabiliana kwa busara na hekima na maadui wa Uislamu. Kwa…
Taasisi kuu ya Kiislamu Marekani yamshutumu vikali rais wa Ufaransa
Taasisi Kuu ya kijamii ya Kiislamu nchini Marekani inayojulikana kwa kifupi CAIR imemshutumu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa na serikali yake kwa kutoa “makataa” na muda maalumu kwa Waislamu wa…
Indonesia yapigania kuwa kituo kikuu cha bidhaa halali duniani
Serikali ya Jakarta imejiwekea malengo ya kuigeuza Indonesia kuwa kituo kikuu cha bidhaa halali duniani ifikapo mwaka 2024. Mtandao wa habari wa Antara News wa nchini Indonesia umeripoti habari hiyo…
Wamarekani wamefurahishwa zaidi na kushindwa Trump kuliko hata kushinda Biden
Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na taasisi ya Monmouth na kusambazwa jana Jumatano, Novemba 18, 2020 yanaonesha kuwa, Wamarekani wamefurahishwa zaidi na kubwagwa na kupigwa na chini Donald Trump…
Marufuku ya Hijab yaondolewa mashuleni nchini Sweden
Mahakama ya kiidara nchini Sweden imetoa hukumu ya kufuta marufuku ya Hijab iliyokuwa imewekwa kwa wanafunzi Waislamu katika jimbo la Skåne la kusini mwa nchi hiyo. Shirika la habari la…