Video ya ndugu 5 wa kiume, maqarii wa Qur’ani Tukufu
Kipande hiki cha video hapa chini kinawaonesha ndugu watano maqarii wa tajwidi raia wa Misri wakisoma kwa kupokezana aya za 61 hadi 65 za Surat Furqan kwa kutumia maqam tofauti…
Picha na Video: Sala ya kwanza Masjid al Haram Makka baada ya miezi 7
Wananchi wa Saudi Arabia, leo Jumapili, tarehe 18 Oktoba 2020 wameanza kusali sala ya jamaa ya Alfajiri katika Msiki Mtakatiafu wa Makkah baada ya miezi saba ya karantini ya COVID-19.…
Msichana mdogo zaidi kuhifadhi Qur’ani Tunisia aenziwa
Waziri wa Masuala ya Dini wa Tunisia amemuenzi na kumtunuku zawadi Maryam Uthmani, binti mdogo zaidi kuhifadhi Qur’ani katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika. Watu mbalimbali muhimu wamehudhuria sherehe…
Kongamano la athari za COVID-19 kwa Waislamu wa Uingereza kufanyika mwezi Disemba
Mtandao wa Utafiti wa Waislamu wa Uingereza (MBRN) una nia ya kuitisha kongamano mwezi Disemba mwaka huu kuhusu athari za COVID-19 kwa Waisamu wa nchi hiyo. Taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti…
Süleymaniye, msikiti wa miaka 463 wa Istanbul + Picha
Msikiti wa kihistoria wa Süleymaniye mjini Istanbul Uturuki ni turathi ya kihistoria ya kipindi cha utawala wa Uthmania (Ottoman Empire) na licha ya kupita zaidi ya karne nne na nusu…
Biden: Nikichaguliwa nitashirikisha Waislamu katika sekta zote za uongozi Marekani
Joe Biden, mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Democrats ambaye ni mpinzani mkubwa wa rais wa hivi sasa wa Marekani, Donald Trump kwa mara nyingine ameahidi kuwashirikisha Waislamu…
Huyu ndiye Isa mwana wa Maryam
Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alip jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu. (Maryamu) akasema:…
Misahafu ya khati ya Oman, fakhari ya ulimwengu wa Kiislamu
Jengo la Makumbusho la Muscat, mji mkuu wa Oman ni hazina ya nakala za thamani kubwa za Misahafu iliyoandikwa kwa mkono na mabingwa wa Khat wa Oman. Mabingwa hao walidhihirisha…
Msikiti kutoa huduma bure za corona Marekani kutokana na usalama wake
Kituo kimoja cha elimu cha Waislamu nchini Marekani cha Msikiti wa San Antonio katika jimbo la Texas kimewekwa maalumu kwa ajili ya kutoa huduma bure ya vipimo vya corona kutokana…
Serikali ya Maldives kusomesha ‘online’ masomo ya Qur’ani
Wakuu wa serikali ya Maldives wametangaza uamuzi wa kuwasomesha dini na Qur’ani raia wake waishio nje ya nchi, kwa njia ya Intaneti. Mtandao wa habari wa AVAS umemnukuu Naibu Rais…