Waislamu washinda kesi ya adhana Ujerumani
Mahakama moja ya mji wa Münster wa magharibi mwa Ujerumani jana Jumatano ilitoa hukumu iliyoruhusu kusomwa adhana katika msikiti mmoja wa mjini humo kwa ajili ya Sala ya Ijumaa. Tovuti…
Nakala za miaka 500 za Qur’ani katika Maktaba ya Marekani
Nakala tatu za zamani na za kihistoria hivi sasa zinahifadhiwa katika maktaba moja ya mjini New York, Marekani zikiwa na umri wa zaidi ya miaka 500. Mtandao wa habari wa…
Baba Saudia ahifadhisha Qur’ani wanawe wanne wasioona
Muhammad Abdul Hadi, baba wa watoto wanne waliozaliwa na upungufu wa kiungo cha macho nchini Saudi Arabia, watatu wanaume na mmoja mwanamke, amepata taufiki ya kuwalea vizuri watoto wake hao…
Somo la kimaadili la COVID-19
Umoja wa Mataifa umetoa taarifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya tarehe 21 Septemba ambayo inatambuliwa kuwa ni Siku ya Amani Duniani, na kusema kwamba mgogoro wa maambukizo ya kirusi cha…
Waislamu Waafrika waenziwa nchini Canada
“Mapambano na Mafanikio ya Waislamu wenye asili ya Afrika” imeteuliwa kuwa kaulimbiu ya ratiba maalumu za “Mwezi wa Historia ya Waislamu” ambao huadhimishwa kila mwaka nchini Canada. Mtandao wa “Muslim…
Sherehe za mwaka wa 12 wa Bustani ya Qur’ani zafanyika Qatar
Sherehe za mwaka wa 12 wa tangu kufunguliwa Bustani ya Qur’ani nchini Qatar zimefanyika lakini kwa njia ya Intaneti kutokana na kuenea ugonjwa wa COVID-19. Bustani hiyo ni ya Taasisi…
Waislamu Canada wataka mauaji ya msikitini Toronto yaitwe ugaidi
Baraza la Taifa la Waislamu nchini Canada limetaka mauaji yaliyotokea katika msikiti mmoja mjini Torondo dhidi ya Muislamu mmoja yatambuliwe kuwa ni tukio la kigaidi kwani lilifanyika kutokana na hisia…
Vituo 69 vya Qur’ani vya kulea ‘mahufadh’ vyafunguliwa Misri
Waziri wa Wakfu wa Misri ametangaza habari ya kufunguliwa vituo 69 vya Qur’ani katika misikiti mikubwa ya nchi hiyo kwa ajili ya kulea vijana wanaohifadhi Qur’ani Tukufu na wanafunzi wa…
Masomo ya Tajwidi: Naghma ya Hijaz
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi kwa Kiswahili, audio hii hapa chini ni ya saba ya mfululizo wa masomo haya. Inahusiana na maqam…
Qarii anayeigiza maqarii wakubwa papo kwa papo
Video hii hapa chini ni ya Qarii wa Kikurdi ambaye Mwenyezi Mungu amempa kipaji ya kuigiza qiraa za maqarii kadhaa bingwa katika ulimwengu wa Kiislamu tena kwa kuunganisha papo kwa…