Taasisi za Kiislamu Nigeria zaitaka serikali isiwabague wanaovaa vazi la staha la Hijab
Taasisi za Kiislamu nchini Nigeria zimeitaka serikali ya shirikisho ya nchi hiyo kukomesha ubaguzi inaowafanyia wanawake na wasichana wanaovaa vazi la staha la Hijab. Tovuti ya habari ya Vanguard imeripoti…
Jimbo la Michigan nchini Marekani lapasisha Siku ya Kimataifa ya Hijab
Baraza la Sanate la jimbo la Michigan limepasisha na kutambua rasmi maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Hijab ambayo ni tarehe Mosi Februari. Tovuti ya Odisha imeinukuu redio WDET 101.9FM…
Taliban yaruhusu wanafunzi wa kike kuanza tena masomo vyuo vikuu vya serikali
Wakuu wa kundi la Taliban nchini Afghanistan wametangaza kuwa, kwa mara ya kwanza tangu walipochukua madaraka ya nchi hiyo, wameruhusu wanafunzi wa kike washiriki katika masomo ya vyuo vikuu vya…
LENGO LA KUTUMWA MTUME SAW
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Leo wanafunzi wenzangu nataka tuzungumzie kidogo lengo la kutumwa Mtume kwa wanadamu. Nitazungumza kwa mujibu wa aya ya pili ya sura ya 62…
Maana ya istilahi ya Raybal Manun ya Qur’ani Tukufu + SAUTI
‘بِسْمِ ٱللَّٰهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ أَمۡ يَقُولُونَ شَاعِرٞ نَّتَرَبَّصُ بِهِۦ رَيۡبَ ٱلۡمَنُونِ Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Leo nilikuwa nasoma sura ya 52 ya Tur nikaguswa zaidi na hiyo…
OIC yaunga mkono mazungumzo ya Wasudan ya kutatua mgogoro wa nchi yao
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imetangaza kuwa inaunga mkono juhudi za Umoja wa Mataifa za kurahisisha mazungumzo baina ya makundi hasimu nchini Sudan na kusisitiza kuwa, juhudi hizo ni…
MALALAMIKO YA AJABU + SAUTI
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Ndugu mmoja ametoa malalamiko na masikitiko yake akisema, sisi ni ndugu watano. Mimi ndiye tajiri kuliko wote. Lakini sijui kwa nini jamaa zangu…
Chama cha maquraa wa Misri chaja na sheria mpya za kuwadhibiti washangiriaji
Chama cha maquraa na wasomaji wa Qur’ani Tukufu nchini Misri kimeweka sheria mpya za kudhibiti washingiriaji wakati maqari wanaposoma Qur’ani katika majlisi za misiba. Mtandao wa habari wa “al Akhbar…
Hatimaye muswada wa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu wapasishwa na Congress ya Marekani
Hatimaye Baraza la Wawakilishi la Marekani limepasisha muswada wa kupambana na chuki dhidi ya Uislamu licha ya kupingwa na wabunge wote wa chama cha Republican cha Donald Trump, raislamu wa…
Wapalestina 45,000 washiriki Sala ya Ijumaa katika Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Makumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya leo ya Ijumaa iliyosaliwa kwenye Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu licha ya wanajeshi na askari…