Waislamu India watumia fedha zao za Hija kusaidia maskini na waathiriwa wa corona
Kutokana na kuenea vibaya ugonjwa wa corona na kuongezeka umaskini na ukosefu wa ajira, Waislamu wengi nchini India wameamua fedha zao za kwendea Hija wazitumie katika masuala ya kutoa misaada…
Waislamu Italia waanzisha mfuko wa kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu
Umoja wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini Italia (UCOII) umeanzisha mfuko maalumu wa kukusanya fedha kwa ajili ya kuasisi kanali ya kutoa taarifa za kukabiliana na chuki dhidi ya…
Mashindano ya Qur’ani na Hadith ya wanachuo yaanza nchini Saudi Arabia
Mfawidhi (Mkuu) wa Masuala ya Msikiti Mtukufu wa Makka na Msikiti wa Mtume wa Madina amefungua mashindano ya Qur’ani Tukufu na Hadhith ya wanachuo wa vyuo vikuu vya Haramain. Gazeti…
Maadui wa Uislamu wauvunjia heshima Msikiti huko Tiznit, Morocco
Msikiti mmoja katika mji wa Tiznit wa kusini mwa Morocco umevunjiwa heshima vibaya na maadui wa Uislamu wanaoona raha kuwafanyia uafiriti Waislamu mara kwa mara. Mtandao wa habari wa Le360…
Kuwait yapiga marufuku kuingizwa Misahafu bila ya kibali
Serikali ya Kuwait imetangaza mafuruku ya kuingiza Misahafu na nakala za Qur’ani Tukufu nchini humo bila ya kibali rasmi cha Idara Kuu ya Kusimamia Uchapishaji na Usambazaji wa Qur’ani Tukufu.…
Utalii wa Halali wastawi sana Uturuki wakati wa corona
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Utalii wa Halali nchini Uturuki amesema kuwa, idadi ya watalii wa sekta hiyo inayochunga mafundisho yote ya kiislamu, imeongezeka sana nchini humo katika…
Taasisi 47 za Ujerumani zaunda muungano wa kukabiliana na uadui dhidi ya Uislamu
Baraza Kuu la Waislamu wa Ujerumani na taasisi kadhaa za kijamii zimeanzisha muungano wa kupambana na chuki katika matabaka mbalimbali ya jamii ya Ujerumani. Baraza hilo limetoa mwito kwa taasisi…
Video: Mtoto mdogo wa Russia akisoma tartili katika mashindano ya Chechnya ya Qur’ani Tukufu
Hapa chini tumeweka kipande kifupi cha video inayomuonesha mtoto mdogo raia wa Russia akisoma kwa sauti nzuri na kwa makhraj sahihi aya za Qur’ani Tukufu katika Mashindano ya Kimataifa ya…
Iran kufanya semina maalumu kuhusu soko la biashara la Oman
Semina ya kwanza ya maalumu ya kujadili soko la Ulimwengu wa Kiislamu imepangwa kufanyika nchini Iran tarehe 23 mwezi huu wa Juni, 2021 na itahusu soko la biashara la Oman.…
Misikiti 50 mipya yafunguliwa nchini Bangladesh katika sherehe za uhuru
Waziri Mkuu wa Bangladesh amefungua misikiti 50 mipya kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa nchi hiyo. Hayo yameripotiwa na mtandao wa habari wa Arab News ambao…