Kwa mara ya kwanza Iran yaipelekea Oman shehena ya tani 2000 za lami
Kwa mara ya kwanza, Iran imeipelekea Oman shehena ya tani 2000 za lami. Shehena hiyo imeelekea nchini Oman kutoka kwenye mji wa bandari wa Bandar Lengeh wa kusini mwa Iran.…
Kwa mara ya kwanza, Iran imeipelekea Oman shehena ya tani 2000 za lami. Shehena hiyo imeelekea nchini Oman kutoka kwenye mji wa bandari wa Bandar Lengeh wa kusini mwa Iran.…
Kutokana na kuenea vibaya ugonjwa wa corona na kuongezeka umaskini na ukosefu wa ajira, Waislamu wengi nchini India wameamua fedha zao za kwendea Hija wazitumie katika masuala ya kutoa misaada…
Umoja wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini Italia (UCOII) umeanzisha mfuko maalumu wa kukusanya fedha kwa ajili ya kuasisi kanali ya kutoa taarifa za kukabiliana na chuki dhidi ya…
Mfawidhi (Mkuu) wa Masuala ya Msikiti Mtukufu wa Makka na Msikiti wa Mtume wa Madina amefungua mashindano ya Qur’ani Tukufu na Hadhith ya wanachuo wa vyuo vikuu vya Haramain. Gazeti…
Msikiti mmoja katika mji wa Tiznit wa kusini mwa Morocco umevunjiwa heshima vibaya na maadui wa Uislamu wanaoona raha kuwafanyia uafiriti Waislamu mara kwa mara. Mtandao wa habari wa Le360…
Serikali ya Kuwait imetangaza mafuruku ya kuingiza Misahafu na nakala za Qur’ani Tukufu nchini humo bila ya kibali rasmi cha Idara Kuu ya Kusimamia Uchapishaji na Usambazaji wa Qur’ani Tukufu.…
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Utalii wa Halali nchini Uturuki amesema kuwa, idadi ya watalii wa sekta hiyo inayochunga mafundisho yote ya kiislamu, imeongezeka sana nchini humo katika…
Semina ya kwanza ya maalumu ya kujadili soko la Ulimwengu wa Kiislamu imepangwa kufanyika nchini Iran tarehe 23 mwezi huu wa Juni, 2021 na itahusu soko la biashara la Oman.…
Waziri Mkuu wa Bangladesh amefungua misikiti 50 mipya kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa nchi hiyo. Hayo yameripotiwa na mtandao wa habari wa Arab News ambao…
Mratibu wa misaada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa huko Palestina ametaka kuongezwa misaada ya kibinadamu kwa wakazi wa Ukanda wa Ghaza. Licha ya Israel kulazimika kusimamisha vita vya hivi…