Hikma za Luqman (Sehemu ya Nne) Sababu ya kuachiliwa huru Luqman
Kutoka kitabu cha Raudhat al Safa Bimsillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatu. Luqman ambaye sura ya 31 ya Qur’ani Tukufu imetajwa kwa jina lake, alikuwa Mwafrika wa Habasha sehemu…
Hikma za Luqman (Sehemu ya Tatu) Kisa cha Matunda
Kisa cha Luqman na matunda ni katika visa vilivyonukuliwa vya hikma za mja huyo mwema wa Mwenyezi Mungu ambaye sura ya 31 ya Qur’ani Tukufu ni ya jina lake. Hadi…
Hikma za Luqman (Sehemu ya Pili) – Kisa cha Kondoo
Kama tulivyoona katika sehemu ya kwanza ya mfululizo wa makala fupi fupi za Hikma za Luqman, mja huyo wa mwema wa Mwenyezi Mungu, alitekwa nyara na kuuzwa kama mtumwa katika…
Hikma za Luqman (Sehemu ya Kwanza)
Bismillahir Rahmanir Rahim Historia fupi ya Luqman al Hakim Kutoka kitabu cha Qasas ul Qur’an cha Ibn Kathir Luqman ambaye ni maarufu kwa jina la Luqman al Hakim, ni katika…
KISA CHA UZAIR NA MDAHALO BAINA YA BWANA MTUME NA MAYAHUDI WA MADINA
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Nianza kwa kusema kwamba, wako wanaosema Uzair alikuwa Mtume na wengine wanasema alikuwa mja mwema kama Luqman. Kawaida Qur’ani haitaji kitu isipokuwa kina…
Wataka mjumbe maalumu wa kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu nchini Marekani
Taasisi mbalimbali Kiislamu nchini Marekani zimeitaka serikali ya nchi hiyo kuwa na mjumbe maalumu wa serikali kwa ajili ya kufuatilia na kukabiliana na chuki na propaganda chafu Waislamu. Hayo yameripotiwa…
Picha: Ramadhani katika darubini ya vyombo vya habari vya Magharibi
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni muhimu mno kwa Waislamu. Hata hivyo mwaka huu pia ugonjwa wa COVID-19 umeendelea kuathiri ibada za Waislamu ndani ya Ramadhani. Waislamu wanaendelea na ibada ya…
Picha: Hali za Waislamu wa maeneo tofauti duniani wakati wa Ramadhani
Licha ya ugonjwa wa corona kuendelea kuiathiri sana dunia wakiwemo Waislamu na ibada zao, lakini mwezi mtukufu wa Ramadhani haukuzuiwa na ugonjwa huo kung’arisha nuru yake ya watu kupendana na…
Timu ya Barcelona ya Uhispania yaweka ratiba maalumu za kuuenzi mwezi wa Ramadhani
Timu ya Barcelona ya nchini Uhispania imewawekea wachezaji wake ratiba maalumu za kutekeleza mafundisho ya kidini na lishe kama sehemu ya kuuenzi na kuuheshimu mwezi mtukufu wa Ramadhani na pia…
Video: Ukumbi wa AlKaaba wavunja rekodi ya kuoshwa wote kwa dakika 5
Ukumbi wa tawaf (kutufu) wa Kibla cha Waislamu AlKaaba katika Msikiti Mtakatifu wa Makkah umevunja rekodi ya kuoshwa wote kwa muda mfupi wa dakika 5 tu katika siku ya pili…