Washindi wa Mashindano ya Qur’ani Tukufu wapewa zawadi Nigeria
Mashindano ya 35 ya Qur’ani Tukufu yalimalizika Jumamosi, Machi 27, 2021 kwa kupewa zawadi washindi wa mashindano hayo. Kwa mujibu wa “Tribune Online” mashindano hayo yalifanyika kwa muda wa siku…
Mchezaji nguli wa Liverpool akisoma Qur’ani katika ndege wakati akielekea Kenya na timu ya taifa
Picha inayomuonesha Mohamed Salah Hamed Mahrous Ghaly maarufu kwa jina la Mohamed Salah, mshambuliaji nguli wa timu ya Liverpool ya Premier League inayotetea hivi sasa taji la ligi hiyo maarufu…
Mwanaharakati wa Kiislamu mwanamke aingia Bungeni Uholanzi
Baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa Bunge la Uholanzi, imebainika kuwa mmoja wa walioshinda katika uchaguzi huo ni mwanaharakati Muislamu anayevaa Hijab. Kwa mujibu wa “The New Arab” mwanaharakati…
Polisi ya Ufaransa yakwamisha masomo ya Kiislamu mjini Paris
Polisi katika mji mkuu wa Ufaransa Paris wamekwamisha masomo maalumu ya watoto yaliyokuwa yanaendeshwa katika Msikiti wa Omar bnil Khattab na kupelekea kufungwa kikamilifu masomo hayo. Toleo la mtandaoni la…
Mpango wa kujengwa Msikiti mkubwa zaidi kaskazini magharibi mwa Uingereza, wapasishwa
Mpango wa kujengwa Msikiti mkubwa zaidi huko kaskazini magharibi mwa Uingereza, umepasishwa na Baraza la Mji wa Blackburn. Mtandao wa habari wa Arab News umeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, mradi huo…
Waislamu Ufaransa walalamikia kupigwa marufuku uchinjaji wa wanyama Kiislamu
Wakuu wa Misikiti kadhaa nchini Ufaransa wamelalamikia vikali uamuzi wa hivi karibuni wa wizara ya kilimo ya nchi hiyo wa kupiga marufuku uchinjaji wa kuku Kiislamu. Wakuu wa Misikiti ya…
“Kompyuta ya Qur’ani” apata maziko makubwa na ya aina yake nchini Mali
Maziko ya Sheikh Yaaqub Bagayogo, aliyekuwa amehifadhi Qur’ani nzima na ambaye alikuwa ni maarufu kwa jina la kompyuta ya Qur’ani yamehudhuriwa na idadi kubwa ya Waislamu huko nchini Mali. Mtandao…
Wafungwa jela kwa kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu nchini India
Mahakama ya mji wa Malerkotla huko Punjab nchini India, imewahukumu kifungo jela maadui wawili wa Uislamu walioivunjia heshima Qur’ani Tukufu. Mtando wa habari wa Tribune of India umeripoti habari hiyo…
Mashindano ya kimataifa ya Qarii wa Dunia wa Quds yaanza Palestina
Awamu ya pili ya mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu yaliyopewa jina la “Qarii wa Dunia wa Quds” imefanyika katika mji wa Baytul Muqaddas kwa hima ya kikundi kimoja cha…
Serikali ya Morocco yaupa nguvu za kisheria ukulima wa bangi
Serikali ya Morocco, nchi ambayo ndiye mzalishaji mkubwa wa bangi duniani, jana ilipasisha muswada wa kuhalalisha ukulima wa bangi nchi hiyo kwa madumizi ya tiba. Muswada huo unasubiri kupasishwa na…