Mchango mkubwa wa Waislamu katika chanjo ya corona
Shirika moja maarufu la utafiti ambalo limeasisiwa na linaendeshwa huko Ujerumani na mke na mume Waislamu wenye asili ya Uturuki limeshirikiana na shirika la Kimarekani la Pfizer kutengeneza chanjo ya…
Mfumo wa elektroniki wa misikiti waanza kufanya kazi nchini Oman
Wizara ya Wakfu ya Oman imetangaza habari ya kuanza kufanya kazi mfumo maalumu wa elektroniki kwa ajili ya kutoa huduma zinazohusiana na misikiti na kurahisisha kuitambua misikiti na maeneo ya…
Biden aanza kufuatilia sheria ya kuruhusu Waislamu kuingia Marekani
Rais mteule wa Marekani, Joseph Robinette Biden Jr. maarufu kwa jina la Joe Biden ameanza kufuatilia njia za kuruhusu Waislamu kuingia nchini Marekani na kubatilisha marufuku iliyowekwa na rais wa…
Waziri wa Ufaransa kutembelea al Azhar leo ili kupunguza hasira za Waislamu
Katika hali inayoonekana ni kuzidi kujaribu kurekebisha makosa yaliyofanywa na rais wa Ufaransa ya kuchukua misimamo ya kiuadui dhidi ya Waislamu, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo ya…
Israel yawazuia Waislamu 2,000 kuingia Msikitini
Polisi wa Israel wamewazuia Wapalestina 2,000 kuingia katika Kibla cha Kwanza cha Waislamu, yaani Msikiti wa al Aqsa kwa madai ya kutokuwa na vibali. Mtandao wa Kiarabu wa televisheni ya…
Video: Qarii maarufu wa Sudan afariki dunia katika ajali ya barabarani
Sheikh Niurin Muhammad Siddiq, qarii maarufu wa Sudan amefariki dunia katika ajali ya barabarani pamoja na maqarii wenzake watatu wakubwa. Mtandao wa Kiarabu wa televisheni ya al Jazeera ya Qatar…
Video: Sheikh Mahmoud Shahat katika qiraa nzuri ya Qur’ani Tukufu
Sheikh Mahmoud Shahat Anwar, mmoja wa maqarii bingwa vijana wa Misri, ameshiriki katika Maulidi ya Mtume Muhammad SAW na kusoma kwa sura nzuri aya za Qur’ani Tukufu zilizowasisimua hadhirina wote.…
Rais wa Russia atumia aya za Qur’ani kuhimiza umoja na mshikamano
Rais Vladimir Putin wa Russia ametumia aya za Qur’ani Tukufu katika siku ya umoja na mshikamano nchini humo. Aya hizo ni zile zilizotarjumiwa kwa lugha ya Kirusi. Aya hizo ni…
Waislamu wachokozwa tena Ufaransa, sasa ni kupitia filamu ya vichekesho
Tangazo la filamu moja ya vichekesho vya kipuuzi nchini Ufaransa limejeruhi hisia za Waislamu nchini humo na kushinikiza tangazo hilo lifutwe mara moja. Kwa mujibu wa mtandao wa gazeti la…
Maandamano, ususiaji wa Waislamu wampigisha magoti Macron?
Baada ya kuongezeka maandamano ya Waislamu na ususiaji wa bidhaa za Ufaransa, hatimaye rais wa nchi hiyo, Emmanuel Macron ameonekana kulegeza kamba kwa kudai kuwa nchi yake haina uadui na…