Mashindano ya Nusu Fainali ya Qur’ani Tukufu yafanyika Brunei
Siku mbili za Jumanne na Jumatano, Septemba 8 na 9, 2020, yalifanyika mashindano ya watu wazima ya Nusu Fainali ya Qur’ani Tukufu nchini Brunei. Mashindano hayo ya siku mbili yaliyofanyika…
Mashindano ya Qur’ani kwa wanafunzi wageni yafanyika Misri
Mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa ajili ya wanafunzi wa nchi za kigeni wanaosoma nchini Misri yalianza Jumatatu ya Septemba 7, 2020. Mashindano hayo yameitishwa na Kituo cha Kiislamu cha al…
Apewa adhabu kwa kurefusha khutba Ijumaa
Wizara ya Wakfu ya Misri imempa adhabu Imam mmoja wa msikiti nchini humo kwa madai ya kurefusha khutba za Ijumaa na kupindukia muda alioanishiwa. Mtandao wa habari wa “al Misri…
Utenzi wa RASI ‘LGHULI (beti 1771-1780)
Sahaba wakiratili, tudiriki Shekhe Ali Wanahiliki rijali, katukhadaa kufari. ***** Alii akisikia, sauti kumnadia Akizinga khuyulia, kudiriki askari. ***** Akimzinga jawadi, yukinga kama asadi Akiwegama anidi, kwa sefu dhu ‘lFiqari.…
Nyakati za kuvutia katika ulimwengu wa wanyama
Na Mwenyezi Mungu ameumba kila kinyama kutokana na maji. Wengine katika wao huenda kwa matumbo yao, na wengine huenda kwa miguu miwili, na wengine huenda kwa miguu mine. Mwenyezi Mungu…
Mbunge ahimiza Qur’ani itumiwe kujenga jamii bora
Mbunge mmoja nchini Mauritania ameitaka serikali ya nchi hiyo kutumia vizuri fursa ya usomeshaji Qur’ani ili kujenga jamii salama, tiifu na iliyopambika kwa sifa bora za kibinadamu na kimaadili. Mbunge…
Maajabu ya mdudu nzi
Qur’ani Tukufu inapotaja kitu, kwa hakika kinakuwa na maana kubwa. Hakitajwi chochote ndani ya Qur’ani bila ya kuwa na hekima yake kubwa. Miongoni mwake ni mfano uliobainishwa kwa sura ya…
Jaji amwomba radhi Muislamu mwenye Hijab Canada
Jaji mmoja nchini Canada ambaye miaka mitano iliyopita alikataa kusikiliza kesi ya mwanamke Muislamu kutokana na kwamba amevaa vazi la staha ya Kiislamu la Hijab, hatimaye ameomba radhi baada ya…
Waislamu India kujenga hospitali kubwa
Waislamu nchini India wanaendelea na mpango wao wa kujenga hosptali ya kutoa huduma za kila namna pembeni mwa msikiti katika kijiji cha Dhannipur cha eneo la Ayodhya huko Uttar Pradesh.…
Zaidi ya watu 6 marufuku kukusanyika UK
Serikali ya Uingereza imefikia uamuzi wa kupiga marufuku zaidi ya watu kukusanyika pamoja kuanzia Jumatatu ya Septemba 14, 2020 kutokana na kuanza wimbi jipya la maambukizo ya ugonjwa wa COVID-19.…