‘Wasio Waislamu hawana nafasi katika Kibla cha Kwanza cha Waislamu’
Mufti wa Quds (Baytul Muqaddas) huko Palestina amesema kuwa, Msikiti wa al Aqsa ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu na una hadhi ya kipekee kwa Waislamu. “Msikiti huo ni mali…
Waislamu 11 wapoteza maisha msikitini Bangladesh kwa bomba la gesi
Waislamu wasiopungua 11 wamefariki dunia baada ya kuripuka bomba la gesi la chini ya ardhi karibu na msikiti mmoja nje ya mji mkuu wa Bangladesh, Dhaka.Shirika la habari la Associated…
Waislamu na wasio Waislamu washirikiana kusafisha fukwe Ufilipino
Kundi moja la Waislamu na Wakristo nchini Ufilipino wameamua kushirikiana kusafisha mazingira kwa kuanzia kusafisha fukwe za baharini kwa pamoja.Hayo yameripotiwa na mtandao wa habari wa “UCANews” na kuongeza kuwa,…
Corona yasaidia kuongezeka mvua Benin
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka serikali za nchi za dunia kutilia maanani jinsi ugonjwa wa COVID-19 ulivyosaidia kuboreka hali ya hewa katika kona zote za dunia (kutokana na…
Maajabu ya mbu jike
Qur’ani ni kitabu kitakatifu cha Mwenyezi Mungu ambacho kila herufi iliyomo ndani yake haimo juzafa, bure bilashi, bali ina maana yake kamili. Kila mfano uliomo ndani ya Qur’ani Tukufu pia…
Mahakama UK kufuatilia mauaji ya Waislamu China
Mahakama ya umma nchini Uingereza imetoa taarifa ya kukubali kufuatilia ombi la Kongamano la Kimataifa la Uyghur la kufuatilia uvunjaji wa haki za binadamu na uwezekano wa kuweko mauaji ya…
Masomo ya Tajwidi: Naghma ya ‘Ajam
Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh Tukiendelea na masomo haya ya tajwidi, audio hii hapa chini ni ya nne ya mfululizo wa masomo haya. Inahusiana na maqam ya ‘Ajam.…
Binti Fatma aandika Qur’ani nzima miezi mitano
Binti Fatma Yusuf Adli Hassan, mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa sekondari katika Chuo Kikuu cha al Azhar nchini Misri amefanikiwa kuandika Qur’ani kwa mkono wake kwa muda wa miezi…
Nigeria kutumia madrasa za Qur’ani kudhibiti watoto wa mitaani
Mkuu wa jimbo la Niger (Niger State) la katikati mwa Nigeria na ambalo ndilo jimbo kubwa zaidi katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika ametangaza habari ya kufunguliwa kituo kikuu…
‘Kuchoma moto Qur’ani ni jinai na ugaidi’
Sheikh Mkuu wa Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri maarufu kwa jina la Shaikhul Azhar, ametuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook na kusema kuwa, kitendo cha maadui…