Video + Picha: Hali ya Kibla cha Kwanza cha Waislamu na Waislamu wa Palestina wakati wa Ramadhani
Msikiti wa al Aqsa, Kibla cha Kwanza cha Waislamu, kimefunguliwa katika siku ya kwanza ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani wa 1442 Hijria kwa ajili ya Waislamu wote wa Palestina.…
Uturuki kugawa nakala 90,000 za Misahafu katika mwezi mtukufu wa Ramadhani
Taasisi ya Masuala ya Kidini ya Uturuki imetangaza kuwa itagawa nakala 90,000 za Qur’ani Tukufu katika nchi 36 tofauti za dunia wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wa mwaka huu…
Video: Mamia ya Wapalestina wafanya usafi Msikiti wa al Aqsa kujiandaa kwa Ramadhani
Mamia ya Wapalestina, Jumamosi, Aprili 10, 2021 walishiriki katika zoezi la kuuosha na kuusafisha Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu ikiwa ni katika maandalizi ya…
Pakistan yaanzisha kituo cha kuangalia mwezi mwandamo mjini Islamabad
Serikali ya Pakistan imeamua kuanzisha kituo maalumu cha kuangalia mwezi mwandamo kisayansi na kiteknolojia, wakati huu wa kukaribia kuingia mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mtandao wa habari wa The Nation umeripoti…
Mashindano ya Qur’ani yatumika kuhimiza umoja na mshikamano wa kitaifa Libya
Idara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Libya imetangaza habari ya kufanyika mashindano ya Qur’ani kwa ajili ya kushajiisha na kuhamasisha umoja na mshikamano wa kitaifa nchini humo. Hayo…
Njama za magaidi wa Ukraine za kuripua Msikiti Russia, zazimwa
Shirika la kijasusi la Shirikisho la Russia limetangaza habari ya kutiwa mbaroni raia mmoja wa nchi hiyo mwanachama wa genge la kigaidi lenye misimamo mikali la Ukraine aliyekuwa amepanga kuuripua…
Kikao cha sheria mpya za tafsiri za Qur’ani chamalizika Islamabad Pakistan kwa nasaha muhimu
Mkutano wa kimataifa wa siku mbili uliozungumzia tafsiri za Qur’ani Tukufu umemalizika katika Chuo Kikuu cha Huria cha Allama Iqbal (AIOU), jijini Islamabad, Pakistan. Hayo yameripotiwa na mtandao wa habari…
Uturuki yanunua katika mnada wa London, nakala 9 za Qur’ani ya kale iliyoandikwa kwa mkono
Manispaa ya Istanbul Uturuki imenunua nakala 9 za kurasa za kale za Qur’ani Tukufu zilizoandikwa kwa mkono na athari nyingine za sanaa kutoka katika mnada wa Sotheby’s wa mjini London,…
Njia sita nyepesi za kukupa thawabu hata baada ya kufariki dunia
Bisimillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema ametuwekea njia nyingi sana za kuweza mtu kujiandalia mazingira mazuri ya kuendelea kupokea wimbi kubwa la thawabu hata…
Video: Utamaduni wa kale wa sherehe za Nusu ya Shaabani Iran na Ghuba ya Uajemi
Usiku wa tarehe 15 Shaabani ni usiku mtukufu kwa wakaazi wa kusini mwa Iran na katika visiwa vya Ghuba ya Uajemi. Unaitwa ni usiku wa Helheluwa. Katika mji wa Bandar…