Wasio Waislamu wavutiwa na bidhaa halali za Waislamu duniani
Ofisi ya Biashara na Viwanda ya China na Malaysia (ACCCIM) imesema kuwa, watu wanaovutiwa na bidhaa za halali za Waislamu na ambao si Waislamu inazidi kuongezeka duniani. Hayo yameripotiwa na…
Kwa mara ya kwanza, UN yapasisha azimio la kuwalinda Waislamu wa Rohingya
Kwa mara ya kwanza, Umoja wa Mataifa umepasisha kwa kauli moja azimio la kuzilinda na kuwaunga mkono Waislamu wa Rohingya wa Myanmar na jamii nyinginezo za wachache. Dhaka Tribune limeripoti…
Sheikh Mkuu wa al Azhar akosoa uenezaji wa istilahi pandikizi ya “Dini za Ibrahim”
Sheikh Mkuu wa Chuo Kikuu cha kidini cha al Azhar cha Misri ambaye ni maarufu kwa jina la Sheikh al Azhar, amekosoa vikali uenezaji wa istilahi pandikizi ya “Dini za…
Msikiti mkubwa zaidi Scotland waanza kutumia nguvu za jua kwa mahitaji yake
Msikiti mkubwa zaidi huko Scotland umeamua kuwa kigezo cha kukabiliana na uchafuzi wa hali ya hewa na kulinda tabianchi kupitia kutumia nishati ya jua katika matumizi yake. Mtandao wa Islamic…
SAUTI: Tofauti baina ya neema, riziki na baraka. Tofauti baina ya kauthar na takathur
Labda ndugu yangu utakuwa unajiuliza, ni ipi tofauti baina ya neema, riziki na baraka? Nitakwambia. Neema ni kile kinachoingia mkononi mwako. Mfano fedha, unapopata fedha, hii ni neema. Mtu anaweza…
Hii ndiyo dunia + SAUTI
Hii ndiyo dunia. Yule mwenye akili nyingi, hana bidii. Yule mwenye bidii kubwa hana fikra za kutosha. Yule mwenye moyo wa kutoa ni maskini na yule bakhili asiyependa kusaidia, mali…
Tafsiri ya Kina ya Qur’ani Tukufu – Surat al Kafirun
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَـٰنِ ٱلرَّحِیمِ قُلۡ یَـٰۤأَیُّهَا ٱلۡكَـٰفِرُونَ لَاۤ أَعۡبُدُ مَا تَعۡبُدُونَ وَلَاۤ أَنتُمۡ عَـٰبِدُونَ مَاۤ أَعۡبُدُ وَلَاۤ أَنَا۠ عَابِدࣱ مَّا عَبَدتُّمۡ وَلَاۤ أَنتُمۡ عَـٰبِدُونَ مَاۤ أَعۡبُدُ…
MASWALI NA MAJIBU
SWALI Assalaamu Alaykum. Hebu niweke sawa kwenye tafsiri ya aya hii: وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ إِنَّ الَّذِينَ يَسْتَكْبِرُونَ عَنْ عِبَادَتِي سَيَدْخُلُونَ جَهَنَّمَ دَاخِرِينَ Hao watakaoingia Jahannam wadhalilike ni wepi?…
Tafsiri ya kina Aya za 19 hadi 23 za Sura ya 35 ya Fatir (Sehemu ya Pili)
بسم الله الرحمن الرحيم وَ ما يَسْتَوِي الْأَعْمى وَ الْبَصِيرُ (19) وَ لا الظُّلُماتُ وَ لا النُّورُ (20) وَ لا الظِّلُّ وَ لا الْحَرُورُ (21) وَ ما يَسْتَوِي الْأَحْياءُ وَ…
Tafsiri ya kina ya Aya za 19 hadi 23 za Sura ya 35 ya Fatir (Sehemu ya Kwanza)
بسم الله الرحمن الرحيم وَ ما يَسْتَوِي الْأَعْمى وَ الْبَصِيرُ (19) وَ لا الظُّلُماتُ وَ لا النُّورُ (20) وَ لا الظِّلُّ وَ لا الْحَرُورُ (21) وَ ما يَسْتَوِي الْأَحْياءُ وَ…